KIDATO CHA TANO NA SITA BURE SERIKALI YATANGAZA. - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 14 June 2022

KIDATO CHA TANO NA SITA BURE SERIKALI YATANGAZA.

 

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kufutwa ada ya kidato cha tano na cha sita hatua ambayo inalenga kuwapunguzia gharama Wazazi na kuwawezesha wanafunzi wanaotoka katika familia duni kusoma.


Akiwasilisha bungeni jijini Dodoma leo Juni 14/2022 makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/2023.Waziri wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu amesema kwa sasa wanafunzi wa kidato cha tano ni takribani 90,825 na kidato cha sita ni 56,880 na mahitaji ya fedha ni Sh billion 10 3.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso