AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPANGAJI MWENZAKE - SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 20:09 0 Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Kambarage katika Manispaa ya Shinyanga anayejulikana kwa jina la Hawa Hussein amelazwa katika Hospitali ya r... Read more »
SIKU 14 ZA MOTO KWA MKANDARASI MVOMERO (HUHESO Digital Blog 19:43 0 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama ametoa muda wa siku 14 kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Dabenko Enterp... Read more »
IGP AFANYA MABADILIKO, SHINYANGA YAPATA KAMANDA MPYA WA POLISI KYANDO AHAMISHWA (HUHESO Digital Blog 19:37 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizo... Read more »
RAIS WA ZAMBIA MHE.HAKAINDE HICHILEMA NA MHE. RAIS SAMIA WAAHIDI KUREJESHA MAHUSIANO YA KISIASA YALIYOPOTEA (HUHESO Digital Blog 14:21 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichil... Read more »
HALMASHAURI 100 ZAFIKIA AU KUVUKA LENGO LA MAKUSANYO YA MAPATO KWA ASILIMIA 100 (HUHESO Digital Blog 13:28 0 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe Innocent Bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 02 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 05:12 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumanne tarehe 02 Agosti 2022 Read more »
NILIKUWEKA PEMBENI KWA UTUNDU UTUNDU SASA UTAKUWA UMEKUA KAFANYE KAZI KWA UFANISI-RAIS SAMIA (HUHESO Digital Blog 20:50 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila atulize akili na kwenda k... Read more »
WANAOSADIKIWA KUWA WEZI WA NG'OMBE WAUAWA-SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 20:39 0 Watu wawili wameuawa kwa kupigwa na kisha miili yao kuchomwa moto na watu wenye hasira kali , baada ya kutuhumiwa kwa wizi wa Ng’ombe katika... Read more »
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAONESHO YA NANE NANE MBEYA (HUHESO Digital Blog 16:42 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe pamoja na Naib... Read more »
TBS KUJENGA MAABARA MWANZA NA DODOMA KWA ZAIDI YA BILIONI 9 (HUHESO Digital Blog 16:33 0 SHIRIKA la viwango Tanzania (TBS) limetenga kiasi cha Shilingi billioni 9.9 kwa ajili ya kujenga jengo la maabara katika miji ya kimkakati ... Read more »
BIBI WA MIAKA 60 AUAWA KWA MAPANGA-SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 16:13 0 PICHA HII HAIHUSIANI NA TUKIO Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kabula Ngasa mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa kijiji cha Nyida Kata ya Ny... Read more »
AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MTOTO WAKE WA KIKE WA MIAKA 12-MANYARA (HUHESO Digital Blog 15:51 0 Salimu Hassan (42), Mkazi wa Mji Mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, amehukumiwa miaka 30 kwenda jela baada ya kutiwa hat... Read more »
MFALME ZUMARIDI APATA HAKIMU MPYA KESI YAKE AWALI MAOMBI YAKE YALIKATALIWA (HUHESO Digital Blog 15:37 0 Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la Jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake... Read more »
MWANAMKE AUA MWANAE WA KUMZAA KWA FIMBO KISA MAJI-KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 13:55 0 Mkazi wa Kibosho Kirima Juu, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka mitatu na miezi sita, kwa ... Read more »
MWANAMKE APIGWA MATEKE TUMBONI NA MUMEWE NA KUFARIKI JAMAA AFUNGWA JELA MIAKA NANE-MWANZA (HUHESO Digital Blog 13:21 0 MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Mwanza, imemhukumu Bahati Marko (45), kifungo cha miaka minane jela kwa kosa la kumuua mkewe, Esta Josefu kwa... Read more »