MWANAMKE AUA MWANAE WA KUMZAA KWA FIMBO KISA MAJI-KILIMANJARO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 1 August 2022

MWANAMKE AUA MWANAE WA KUMZAA KWA FIMBO KISA MAJI-KILIMANJARO



Mkazi wa Kibosho Kirima Juu, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka mitatu na miezi sita, kwa kumchapa kwa fimbo, akimtuhumu kuchezea maji.


Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 27, anadaiwa kufanya mauaji hayo jana Jumapili, Julai 31, 2022 ambapo alimchapa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili.


Inadaiwa alimchapa mtoto huyo akimtuhumu kuchezea maji ya baridi, yaliyokuwa yakitiririka kwenye bomba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso