Post Top Ad
Saturday, 18 October 2025
Friday, 17 October 2025
WAANGALIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUTOINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha siku moja ba...
USIKU WA WADAU SHUPAVU MKOA WA SHINYANGA KUFANYIKA LEO ZAKARIA HALL - KAHAMA
SHINYANGA, Oktoba 17, 2025 Ni siku ya furaha na historia kwa wadau wa maendeleo mkoani Shinyanga, ambapo leo inafanyika hafla maalum ya “U...
WENJE AFUNGUKA: KUHAMA SI USALITI, NI KUTAFUTA ‘LIGI KUU’ YA MAENDELEO
Aliyekuwa nguli wa siasa za upinzani na Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria (Kanda ya Ziwa) wa Chadema, Ndugu Ezekia Wenje, amesisitiza kuwa ua...
WANANCHI WASHANGILIA TASNIA YA MICHEZO KUWA AJIRA, AFYA
Tanzania inaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ikiwa na taswira mpya katika sekta ya michezo, shukrani zikielekezwa moja kwa moja kw...
VIJANA CHUO KIKUU WAONYANA UPOTOSHAJI MTANDAONI
Katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ambapo Tanzania inasherehekea demokrasia yake, tasnia ya elimu ya juu i...
Thursday, 16 October 2025
WALIMU TUJIENDELEZE KUENDANA NA MABADILIKO DUNIANI-DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza walimu nchini wasichoke kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na ma...
JWTZ YARIDHISHWA NA HALI YA USALAMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, YAONYA WANAHARAKATI NA WANAOHUSISHA JESHI NA SIASA
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeridhishwa na hali ya usalama iliyopo nchini huku taifa likielekea kwe...
MWILI WA RAILA ODINGA WAFIKISHWA KASARANI, WAFUASI WAKIENDELEA KUAGA, TAHARUKI IKIBAKI - JKIA
Na, Mwandishi wetu, Kelvin Nandwa - Nairobi.
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.