GUDE GUDE NA WIMBO WAKE MPYA WA SHIDA (HUHESO Digital Blog 17:15 0 Usipite bila kuangalia ngoma kali ya Gudegude iitwayo shida Read more »
SONG KALI LA NONGO ODUJA - TWITOGAGWI (HUHESO Digital Blog 17:06 0 Angalia ngoma kali ya Nongo Oduja na wimbo wake mpya wa Twitogagwi Read more »
NDEGE ZAGONGANA ANGANI WAWILI WAFARIKI (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Watu wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuangukia katika mbuga ya kitaifa Nairobi, Kenya. Waliofariki wan... Read more »
MARUFUKU KULA MSIBANI (HUHESO Digital Blog 14:50 0 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk Yahaya Nawanda, amepiga marufuku watu kula kwenye misiba, kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa kipindupindu kat... Read more »
MIOYO YA WATANZANIA IMEGUBUKWA DHULMA (HUHESO Digital Blog 14:14 0 ''Katika mikoa 23 niliyotembea kwa awamu zote mbili, nimebaini dhulma katika sekta ya ardhi unayofanywa na matajiri na baadhi ya wat... Read more »
ZUCHU AFUNGIWA KUFANYA SHUGHURI ZA SANAA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:08 0 Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha sh... Read more »
BINTI WA MIAKA 16 AJERUHIWA KWA RISASI MKOANI MARA (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Neema Omari (16), mkazi wa Kijiji cha Kewanja Wilaya ya Tarime mkoani Mara amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyere... Read more »
CHADEMA KUJIFUNGIA KUJADILI AZIMIO LA KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA (HUHESO Digital Blog 11:03 0 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kush... Read more »
SAGINI ATANGAZA SIKU 14 KUONDOA NAMBA ZA 3D, MADEREVA WA SERIKALI KUKIONA (HUHESO Digital Blog 10:50 0 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 05 MACHI 2024 (HUHESO Digital Blog 05:59 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumanne tarehe 05 Machi 2024 Read more »
MUUNDO MPYA UEFA WATANGAZWA (HUHESO Digital Blog 18:28 0 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limetangaza muundo mpya wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2024/2025. Awali ziliku... Read more »
HITILAFU YATOKEA GRIDI YA TAIFA (HUHESO Digital Blog 18:15 0 SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuna hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye... Read more »
MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI YAKUSANYIKA SHINYANGA KUMUOMBEA DUA NA SALA RAIS MSTAAFU HAYATI ALI HASSAN MWINYI (HUHESO Digital Blog 18:03 0 WANANCHI kutoka Madhehebu Mbalimbali ya kidini mkoani Shinyanga, wamemuombea Dua na Sala Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili nchini Tanzania Hay... Read more »
WATENDAJI WA HALMASHAURI MSALALA WATAKIWA KUWA WAADILIFU (HUHESO Digital Blog 17:35 0 WATENDAJI wote wa Halmahauri ya Msalala, Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa waadilifu na kutenda haki kwa wananchi wote wanaowahudumia,... Read more »
MUHIMBILI YATOA PINI KWENYE MAPAFU YA MTOTO WA MIAKA MITANO (HUHESO Digital Blog 14:30 0 Mtoto mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ametolewa pini kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa maal... Read more »