HITILAFU YATOKEA GRIDI YA TAIFA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 4 March 2024

HITILAFU YATOKEA GRIDI YA TAIFA
SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuna hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo Tanzania Bara na Zanzibar.


Taarifa iliyotolewa muda mchache uliopita, shirika hilo limeeleza kuwa mafundi wao wanaendelea na zoezi la kuhakikisha huduma hiyo inarejea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso