MATOKEO KIDATO CHA NNE BADO NI CHANGAMOTO GEITA (HUHESO Digital Blog 16:54 0 Licha ya ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne mkoani Geita mwaka 2023 kuongezeka kwa asilimia 4.1, takwimu zinaonyesha asilimia 62.2 ya wan... Read more »
UGONJWA WA RED EYES WASAMBAA MIKOA 17 (HUHESO Digital Blog 16:48 0 Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral kera... Read more »
SENEGAL AFUNGASHA VIRAGO 16 BORA KOMBE LA AFCON (HUHESO Digital Blog 12:41 0 Bingwa mtetezi Senegal katika Kombe la Mataifa Afrika mwendo ameumaliza kwa kufungashiwa virago na Ivory Coast. Senegal walikuwa ni mabi... Read more »
MBADALA WA MGODI WA BUZWAGI KUANZISHWA KAHAMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI (HUHESO Digital Blog 16:02 0 Kwa zaidi ya miaka 15 mgodi wa dhahabu wa Buzwagi ulikuwa kitovu cha uchumi wa Mkoa wa Shinyanga na chimbuko la mji wa kibiashara wa Kahama.... Read more »
ATOLEWA SKRUBU (SCREW) KWENYE MAPAFU (HUHESO Digital Blog 14:55 0 Mtoto mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera na kwenda kuinasa na kisha kuitoa ambayo alikua a... Read more »
TFF WAMSIMAMISHA KAZI KOCHA MKUU WA TAIFA STAR (HUHESO Digital Blog 23:52 0 SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mualgeria Adel Amrouche na kumteua mzalendo, Hemed Suleiman... Read more »
TAIFA STAR MATUMAINI YA KUFUZU BADO YAPO (HUHESO Digital Blog 10:03 0 NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva amesema kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Mataifa Afrika,... Read more »
WANANCHI 515 LAHAMA NGORONGORO KWENDA MSOMERA (HUHESO Digital Blog 09:49 0 KUNDI lenye kaya 72 wananchi 515 na mifugo 2,206 limeagwa leo tarehe 18/01/2024 baada ya kujiandikisha na kuamua kuhama kwa hiyari kutoka ka... Read more »
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA UTAWALA BORA USWISI (HUHESO Digital Blog 22:23 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema katika kudhibiti rushwa unahitajika uongozi imara pamoja n... Read more »
IMF YAITAJA TANZANIA MIONGONI MWA MATAIFA 10 YENYE MADENI KIDOGO BARANI AFRIKA (HUHESO Digital Blog 22:16 0 # IMF yaitaja Tanzania miongoni mwa mataifa 10 yenye madeni madogo zaidi barani Afrika #Sera za uchumi za Rais Samia zaleta matunda makubwa ... Read more »
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA KATIBU TAWALA MKOA IRINGA (HUHESO Digital Blog 22:09 0 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi Doris Ntuli Kalasa kuwa katibu tawala wa Mkoa Iringa. Read more »
ADAIWA KUJINYONGA BAADA YA MWENZA WAKE KUCHUKULIWA NA WAZAZI (HUHESO Digital Blog 14:10 0 Mkazi wa Mtaa wa Idundilanga, wilayani Njombe, Venance Haule (24) anadaiwa kujinyonga kwa kile kinachoelezwa mwanamke aliyekuwa akiishi naye... Read more »
WATU WATANO WAFARIKI KAGONGWA NA 18 WABAINIKA KUWA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 16:06 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amesema jumla ya wagonjwa 18 kati ya wagonjwa 41 wameathirika na vimelea vya kuhara na kutap... Read more »
WANANCHI KATA ZA KANYIGO NA KASHENYE WILAYANI MISSENYI WAHIMIZWA KUTUNZA URITHI WA KIHISTORIA (HUHESO Digital Blog 09:59 0 Wananchi wa Kata za Kanyigo na Kashenye wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, wamehimizwa kutunza urithi wa kihistoria, utamaduni na malikale, n... Read more »