Post Top Ad
Thursday, 2 February 2023
SUMA JKT MKAMILISHE KWA MUJIBU WA MKATABA HAKUNA NYONGEZA YA MUDA
(HUHESO Digital Blog
06:59
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk Selemani Jafo amempa wiki mbili mkandarasi wa kampuni ya Suma JKT pamoja ...
Wednesday, 1 February 2023
Tuesday, 31 January 2023
WATU WANNE WATUPWA JELA MIAKA 120 KWA MAKOSA YA UBAKAJI, KAMANDA ARUSHA AELEZA
(HUHESO Digital Blog
13:35
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kukahakikisha linakomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na Watoto limeendelea kushiriki...
Monday, 30 January 2023
MWENYEKITI CHADEMA AHAMIA CCM MOROGORO
(HUHESO Digital Blog
18:47
0
MWENYEKITI wa Jimbo la Mikumi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha M...
WATU NANE WAFARIKI KWA KUPIGWA RISASI KWENYE SHEREHE YA BIRTHDAYPART USIKU
(HUHESO Digital Blog
13:21
0
Watu wenye silaha wamewauwa wageni wanane baada ya kulifyatulia risasi kikundi cha watu waliokuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa katika mji...
WATEULE WA RAIS WASHINDWA KURIPOTI MAENEO YAO YA KAZI, WAHOJIWA NA POLISI KWA DAKIKA 50
(HUHESO Digital Blog
13:00
0
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga amesema kwa sasa hawezi kutoa sababu kwanini hajaripoti wilaya aliyopangiwa ...
Friday, 27 January 2023
AFUNGWA JELA MAISHA KWA KOSA LA KUBAKA MTOTO
(HUHESO Digital Blog
13:49
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanzia Januari 01, 2023 limefanya misako na doria zenye tija kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu n...
WAHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA KWA KUIBA MAFUTA YA UJENZI WA SGR
(HUHESO Digital Blog
13:36
0
Mahakama ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imewahukumu kwenda jela miaka miwili au kulipa faini washtakiwa watatu kati ya sita waliohusika n...
WALIMU WALIOCHEKA WAKATI MWALIMU MKUU AKIKANYAGA MIGUU YA WANAFUNZI WASIMAMISHWA
(HUHESO Digital Blog
13:28
0
KATIBU Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kakanja na walimu wanne waliok...
JELA MIAKA MINNE KWA KUKATA KIGANJA CHA BOSS WAKATI AKIDAI ELFU 65
(HUHESO Digital Blog
13:23
0
MKAZI wa Ludewa mkoani Njombe, Baraka Luoga (20) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata kiganja cha mkon...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.