WANANDOA WAFARIKI KWA JIKO LA MKAA WAKATI WAKIPATA JOTO (HUHESO Digital Blog 17:38 0 Watu wawili, wanandoa wamekutwa wamepoteza maisha siku ya Jumanne katika nyumba moja, jimbo la kaskazini mwa Nigeria la Kano kwa kudaiwa kuv... Read more »
AJALI YAUA WATU WATATU TANGA KWA MALORI MAWILI KUGONGANA USO KWA USO (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Watu watatu wamefariki usiku wa kuamkia leo Ijumaa baada ya lori lililokuwa limebeba gesi kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso. Kwa mu... Read more »
SERIKALI YASEMA BILA BIMA YA AFYA HUPATI HUDUMA, UKITAKA HUDUMA ONESHA KIBALI CHA BIMA, 2026 (HUHESO Digital Blog 15:54 0 Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye... Read more »
WATU 16 WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BASI KULIGONGA LORI LILILOPAKIWA 12 WAKIPOTEZA MAISHA PAPO HAPO (HUHESO Digital Blog 13:05 0 Picha hii sio halisia na picha za ajali yenyewe nchini Uganda Takriban watu 16 wameuawa wakati basi la abiria lilipogonga lori moja Ijumaa a... Read more »
AUA MAMA MKWE, MKE WAKE, WATOTO WAKE WATANO NA YEYE KUJIUA KISA TALAKA YA MKE (HUHESO Digital Blog 12:07 0 Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua mke wake, mama mkwe na watoto wake 5 na yeye kujiua baada ya mke wake kuwasil... Read more »
BEI YA NYAMA YAZIDI KUPANDA JIJINI DODOMA, NG'OMBE WAPUNGUA KWENYE MINADA (HUHESO Digital Blog 11:52 0 Bei ya nyama ya ng'ombe kwenye baadhi ya mabucha katika jijini la Dodoma imepanda kutoka Sh7,000 hadi Sh10,0000 kwa kilo huku moja sabab... Read more »
WAKULIMA WALALAMIKIA KUTOKULIPWA FEDHA ZA KAHAWA, WAZIRI BASHE AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MSINGI (HUHESO Digital Blog 11:45 0 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa viongozi chama cha msingi cha ushirika cha zao la kahawa cha Isaso baada wakulima kul... Read more »
IGP WAMBURA AFANYA MABADILIKO MAKAMANDA WA MIKOA (HUHESO Digital Blog 11:40 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa katika kuboresha na kuongeza ufani... Read more »
AFUNGWA JELA KWA KUMBAKA MTOTO WAKATI AKICHUNGA NG'OMBE ALIMDANGANYA KAKA WA MHANGA KUANGALIA MIFUGO ISIPOTEE (HUHESO Digital Blog 18:55 0 Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara, imemhukumu Richard Martin (42), mkazi wa kiijiji Cha Minjingu kifungo cha miaka 30 jela kwa ko... Read more »
PAPA FRANCIS AONGOZA MAZISHI YA PAPA BENEDICT (HUHESO Digital Blog 18:23 0 Papa Francis ameongoza mazishi ya aliyekuwa Papa Benedict siku ya Alhamisi, akigusa kwa upole jeneza la mtangulizi wake alipokuwa amesimama ... Read more »
KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE KUANZA VIKAO WIKI IJAYO (HUHESO Digital Blog 17:29 0 Vikao vya kamati za kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinatarajia kuanza Januari 9, 2023 ambapo kamati mbili za Sheria Ndog... Read more »
BREAKINGNEWS: RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DIWANI (HUHESO Digital Blog 16:12 0 Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa kamishna Diwani Athumani Msuya aliyemteua tarehe 03 Januari 2023 kuwa kat... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 05 JANUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 11:21 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamis tarehe 05 Januari 2023 Read more »
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JERA KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MITATU - ARUMERU (HUHESO Digital Blog 11:16 0 Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha jela, John Sanare Lukuaya (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ... Read more »
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI TINDE - SHELUI (HUHESO Digital Blog 11:12 0 Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga akiwa katika Tenki la Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Tinde Mkoani Shinyanga hadi Sh... Read more »