RAIS SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI,ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 16:44 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia bidhaa na vifaa vya matumizi ya aina mbalimbali katika mabanda... Read more »
SIMBA YACHAPWA NA ARTA SOLAR UWANJA WA UHURU (HUHESO Digital Blog 16:37 0 LICHA ya Kumiliki Mpira kwa asilimia 61 Timu ya Simba imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wageni Arta Solar kutoka nchini Djibouti mchez... Read more »
AJALI YA BASI LA SUPER NAJIMUNISA YAUA WATU WATANO, KUJERUHI 54 SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 09:34 0 WATU watano wamepoteza maisha huku 54 wakijeruhiwa ajali ya Basi na Fuso kugongana uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga. Na M... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 03 SEPTEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 03:14 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumamosi tarehe 03 Septemba 2022 Read more »
WALIOGOMBEA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAITWA NA CCM DODOMA (HUHESO Digital Blog 15:21 0 Chama cha Mapinduzi kimewaita wanachama wake wote waliomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Bunge la Afrika Mashariki kufika kwenye kikao cha se... Read more »
AMINA AFARIKI KWA KUCHOMWA VISU MARA 17-GEITA (HUHESO Digital Blog 15:05 0 Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa w... Read more »
BAADA YA ZAECA KUTAKIWA KUJITATHIMINI MKURUGENZI MKUU AJIUZULU (HUHESO Digital Blog 14:11 0 Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugen... Read more »
HALMASHAURI ZA WILAYA, SHINYANGA ZAAGIZWA KUTENGA SHILINGI ELFU 1000 KWA KILA MTOTO (HUHESO Digital Blog 13:30 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema ameziagiza Halmashauri za wilaya katika mkoa huo zitoe shilingi 1000 kwa kila mtoto aliye chini ... Read more »
MBWA AONEKANA NA KICHWA CHA MTOTO-MANYARA (HUHESO Digital Blog 13:16 0 Mbwa mmoja akiwa amebeba kichwa cha mtoto mchanga, ameonekana katika mtaa wa Vumilia wilayani Kiteto mkoani Manyara, usiku wa kuamkia Septe... Read more »
MVUA ZA VULI KUKOSEKANA KAYA ZATAKIWA KUTUNZA CHAKULA (HUHESO Digital Blog 13:13 0 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba ha... Read more »
BODABODA APORWA PIKIPIKI, AKATWA SHINGO - BUNDA (HUHESO Digital Blog 11:20 0 Mtu mmoja ambaye ni dereva bodaboda aliyetambulika kwa jina la ISSA SAGUDA (22) mkazi wa Rubana kata ya Balili, Halmashauri ya Mji wa Bund... Read more »
KISHIKWAMBI KILICHOIBIWA MBOGWE CHANASWA SINGIDA (HUHESO Digital Blog 00:39 0 Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea kukitafuta kishikwambi kilichoibiwa kwenye nyumba ya kulala wageni wilayani Chato mkoani Geita h... Read more »
MABASI YAENDAYO MIKOANI TOKA DAR YARUHUSIWA KUINGIA KWENYE STENDI BINAFSI (HUHESO Digital Blog 00:32 0 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametangaza kuondoa katazo lililokuwa likizuia Mabasi yaendayo mikoani na nje ya Nchi kutoruh... Read more »
MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 02 SEPTEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 00:17 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Ijumaa Tarehe 02 Septemba 2022 Read more »
WAZIRI UMMY AANIKA CHANZO CHA KUYUMBA NHIF (HUHESO Digital Blog 14:31 0 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametaja chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akisema magonjwa yasiyoambukiza, urasimu... Read more »