MBWA AONEKANA NA KICHWA CHA MTOTO-MANYARA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 2 September 2022

MBWA AONEKANA NA KICHWA CHA MTOTO-MANYARA

Mbwa mmoja akiwa amebeba kichwa cha mtoto mchanga, ameonekana katika mtaa wa Vumilia wilayani Kiteto mkoani Manyara, usiku wa kuamkia Septemba Mosi, 2022, na kuzua taharuki kwa wananchi wa eneo hilo.


Mashuhuda katika eneo hilo wamesema kuwa Mbwa huyo alionekana majira ya saa 3:47 usiku wa Agosti 31, mwaka huu.


Jeshi la Polisi wilayani Kiteto baada ya taarifa hiyo walifika katika eneo hilo na kuokota kichwa cha kichanga hicho na kuondoka nacho huku kukiwa hakuna mtu anayeshikiliwa kutokana na tukio hilo.

chanzo:EATV

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso