WALIOMUUA MWANAFUNZI WA CHEKECHEA WAFIKISHWA MAHAKAMANI-GEITA (HUHESO Digital Blog 14:28 0 Watuhumiwa watatu waliotambuliwa kwa majina ya Sitta Makabila wa miaka 52 mkazi wa Kilimanjaro ambaye ni mganga wa kienyeji, Mathias Shilole... Read more »
AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA AKIWA KWA MPENZI WAKE-MOROGORO (HUHESO Digital Blog 14:00 0 Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajil... Read more »
MTENDAJI NA MGAMBO WAKE WATUHUMIWA KUUA MWANAFUNZI-KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 13:52 0 Ofisa mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha ki... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 22 JUNI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:18 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 22 Juni 2022 Rais Samia aruhusu ajira 3,000 za polisi... Read more »
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKUTWA NA SEHEMU ZA SIRI TANO ZA WANAWAKE-DAR ES SALAAM (HUHESO Digital Blog 19:10 0 Mkazi wa Maswa, mkoani Simiyu, Salum Nkonja maarufu kama Emmanuel Nkonja, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka... Read more »
BABA AJIUNGA SHULE YA MSINGI ASOME NA MTOTO WAKE DARASA LA TATU (HUHESO Digital Blog 18:33 0 Joel Majok akiwa na mtoto wake MWANAUME mmoja raia wa Sudan Kusini mwenye umri wa makamo ameibua gumzo mjini Eldoret baada ya kujiunga na sh... Read more »
MDOSI ALINIFUKUZA KAZINI NA KUAJIRI ‘MPANGO WA KANDO’! (HUHESO Digital Blog 18:12 0 Nilifutwa kazi kutoka shirika moja la kibinafsi la utangazaji huko Nairobi Kenya na hata pesa zangu zote sikulipwa na nilipojaribi kuuliza n... Read more »
MGAHAWA WA MIAKA HAMSINI WAZAMA BAHARINI HUZUNI YATANDA (HUHESO Digital Blog 16:42 0 Mgahawa unaoelea ambao ulikuwa alama maarufu ya Hong Kong umezama siku chache baada ya kuvutwa kutoka bandarini ambako ulifanya kazi kwa tak... Read more »
MGANGA WA KIENYEJI ALIEHUSIKA NA VIUNGO VYA BINADAMU AHUKUMIWA MIAKA 10-KIGOMA (HUHESO Digital Blog 15:47 0 Jeshi la polisi mkoani Kigoma limesema mtuhumiwa mmoja ambaye alikuwa ni mganga wa kienyeji Mathayo Ndayishimiye ambaye ni kati ya watuhumiw... Read more »
KUFUATIA KIFO CHA MWENDESHA BODABODA-DC KISWAGA AAGIZA MSAKO WA LESENI ZA MADEREVA (HUHESO Digital Blog 15:14 0 Na Paul Kayanda-Kahama KUFUATIA kifo cha mwendesha boda boda Hiali Mgina (38) mkazi wa mtaa wa majengo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kili... Read more »
FEDHA ZA CSR ZA BARRICK BULYANHULU ZAFANIKISHA MIRADI MIKUBWA YA SEKTA YA ELIMU NA AFYA WILAYANI NYANG’HWALE (HUHESO Digital Blog 14:53 0 Maofisa Waandamizi wa Barrick Bulyanhulu wakielekea kutembelea maabara ya sekondari ya Nyigundu. Wananchi wanaoishi wilayani Nyang’hwale m... Read more »
NAFASI ZA KAZI 60 - COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) (HUHESO Digital Blog 14:09 0 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of College of Business Education (CBE), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and s... Read more »
AUAWA KISA DEBE MBILI ZA MAHINDI-KATAVI (HUHESO Digital Blog 14:06 0 Kamanda wa polisi mkoani Katavi, Ahmad Makame Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamis Hassan, mkazi wa Kijiji cha Kambuzi, Kata ya litapu... Read more »
KILO ZAIDI YA 500 ZA MIRUNGI ZAKAMATWA JIJINI MWANZA ZIKIWA NDANI YA GARI TOYOTA HARRIER (HUHESO Digital Blog 13:59 0 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata gari aina ya Toyota Harrier ikiwa limebeba kilo 561 za mirungi. Akizungumza na waaandishi wa habari... Read more »
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AKUTWA AMEUAWA HUKU AKIWA AMETOLEWA JICHO NA KUPONDWA UNYAYO (HUHESO Digital Blog 13:21 0 Jeshi la Polishi Mkoa wa Geita limesema linaendelea kuchunguza tukio la mauaji ya mtoto (14) Johnson Thomas Mwanafunzi wa Darasa la Saba shu... Read more »