AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA AKIWA KWA MPENZI WAKE-MOROGORO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 22 June 2022

AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA AKIWA KWA MPENZI WAKE-MOROGORO



Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake.


Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho, Mbena Loki amesema Musa aliuawa na mtu aliyedaiwa kuwa ni mume wa mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina la Farida Ally.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso