NDUGAI KUACHANA NA UBUNGE (HUHESO Digital Blog 16:06 0 MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Ndugai amesisitiza kuwa jambo la kusta... Read more »
MAELFU YA WANANCHI WASUSIA KUTUMIA DAWA ZA VVU (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Mamlaka nchini Msumbiji zimesema zaidi ya wagonjwa 14,000 wa VVU wameachana na tiba ya kurefusha maisha inayotumika na wagonjwa wa VVU katik... Read more »
WANANCHI WAFUNGA OFISI YA MTENDAJI KIJIJI (HUHESO Digital Blog 15:28 0 Wananchi wa kijiji cha Rau River Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamefunga ofisi ya kijiji hicho wakidai wanashinikiza kufanyika mikutano... Read more »
MBUNGE WA CCM AITAKA SERIKALI KUHALALISHA GONGO (HUHESO Digital Blog 14:08 0 Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe ameitaka Serikali kuzipima na kuzirasimisha pombe za kienyeji ikiwamo gongo ili kuwasaidia kiuchum... Read more »
AKIMBIA KILOMITA 4399 KWA MGUU MMOJA (HUHESO Digital Blog 13:54 0 Jacky Hunt-Broersma kutokea Arizona, Marekani ambaye mwaka 2002 alikatwa mguu mmoja kwa sababu ya ugonjwa wa kansa, amevunja rekodi ya Duni... Read more »
WATU 29 WAFARIKI AKIWEMO MTOTO WA MIEZI MINNE KWA KUSHAMBULIWA NA WAASI (HUHESO Digital Blog 13:37 0 Makumi ya watu wameuawa baada ya watu wenye silaha kuvamia mgodi wa dhahabu huko Djugu katika jimbo la Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kide... Read more »
AGIZO LA MKUU WA MKOA KUVUNJA BODI LATENGULIWA VIONGOZI WAKE WAREJESHWA (HUHESO Digital Blog 13:26 0 SHIRIKISHO la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetengua agizo la kuzivunja Bodi za Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) 335 mkoani Simiy... Read more »
MSHAHARA ZANZIBAR WAONGEZWA KWA 15.6% (HUHESO Digital Blog 08:34 0 RAIS DKT MWINYI WA ZANZIBAR Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyin ametangaza ongezeko la Mshahara kwa 15.6% ambapo ongezeko hilo litazingat... Read more »
RAIS SAMIA AITISHA KIKAO CHA DHARURA AAGIZA UTATUZI WA HARAKA WA KUPANDA BEI YA MAFUTA (HUHESO Digital Blog 00:51 0 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha kikao cha dharura usiku wa kuamkia leo Mei 9,2022 katika Ikulu ... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 09, MEI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:20 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 9 Mei 2022 Read more »
ROYAL TOUR YAMUIBUA LEMBELI-AMPONGEZA RAIS SAMIA NA KUSHAURI. (HUHESO Digital Blog 23:50 0 WAKATI Serikali ikiendelea na uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour,aliyoshiriki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan,k... Read more »
NAFASI ZA KAZI 48 CV PEOPLE TANZANIA (HUHESO Digital Blog 23:21 0 PROJECT OFFICERS – 48 vacancies CVPeople Tanzania | Full time Mara, Simiyu,Arusha,Kilimanjaro,Manyara,Dodoma,Singida Kagera, Mwanza, Geita,K... Read more »
WADAU WA MAENDELEO WAOMBWA KUCHANGIA SENSA (HUHESO Digital Blog 15:16 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa washirika wa maendeleo kuchangia kwa hali na mali kiasi cha dola mi... Read more »
NAFASI ZA KAZI AFISA USTAWI WA JAMII (HUHESO Digital Blog 14:27 0 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya, anakaribisha m... Read more »
DC KOROGWE BASILA MWANUKUZI APATA AJALI (HUHESO Digital Blog 13:53 0 MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Basilla Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ... Read more »