AKIMBIA KILOMITA 4399 KWA MGUU MMOJA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 9 May 2022

AKIMBIA KILOMITA 4399 KWA MGUU MMOJA






Jacky Hunt-Broersma kutokea Arizona, Marekani ambaye mwaka 2002 alikatwa mguu mmoja kwa sababu ya ugonjwa wa kansa, amevunja rekodi ya Dunia ya kukimbia marathon 104, kwa siku 104 amekimbia kilomita 4,399 ambapo kwa siku alikuwa anakimbia kilomita 42.1.


Katikati ya mwezi Januari, Jacky alitangaza atakimbia maili 2620 kila siku kwa siku 100 ili kuvunja rekodi ya Guinness.


Jacky kwa sasa anasubiria rekodi ya itambuliwe rasmi na kitabu cha Guinness.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso