NDUGAI KUACHANA NA UBUNGE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 9 May 2022

NDUGAI KUACHANA NA UBUNGE






MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.


Ndugai amesisitiza kuwa jambo la kustaafu alikwishalipanga tangu muda mrefu na kwa maamuzi hayo anaomba asitafsiriwe kuwa amestaafu kwa kushindwa.


“2025 sitagombea nafasi ya Ubunge nastaafu siyo kama nastaafu kwa kusindwa, lakini jambo ambalo tayari nilishalipanga kutoka muda mrefu uliopita hivyo tutaendelea kushirikiana kaa ambavyo tunashirikiana sasa.” alisema Ndugai.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso