RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WA TAASISI ZA UMMA (HUHESO Digital Blog 11:23 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Amemteua Bw. Omar Issa kuwa Mkuu (Chan... Read more »
PANGA PANGUA YA MAKATIBU TAWALA WILAYA NA WAKURUNGENZI WA HALIMASHAURI (HUHESO Digital Blog 12:01 0 Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri kwa kuteua wapya, kuwahamisha vit... Read more »
RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA JIJI LA MWANZA. (HUHESO Digital Blog 16:08 0 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu hassan ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bw. ... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA ,MAKATIBU WAKUU - MWANA FA NAIBU WAZIRI UTAMADUNI NA MICHEZO (HUHESO Digital Blog 16:11 0 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN MH. HAMIS MOHAMED MWINJUMA (MWANAFA) NAIBU WAZIRI UTAMADUNI NA MICHEZO ... Read more »
CHRISTINA MNDEME ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 16:07 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa wakuu wa mikoa mitatu ya Shinyanga, Tanga na... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA MTENDAJI MKUU AICC (HUHESO Digital Blog 15:24 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa... Read more »
WATEULE WA RAIS WASHINDWA KURIPOTI MAENEO YAO YA KAZI, WAHOJIWA NA POLISI KWA DAKIKA 50 (HUHESO Digital Blog 13:00 0 Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga amesema kwa sasa hawezi kutoa sababu kwanini hajaripoti wilaya aliyopangiwa ... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA YUMO SHAKA HAMDU SHAKA (HUHESO Digital Blog 11:55 0 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wapya 37 na kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 huku 55 w... Read more »
RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI ANAETUHUMIWA KUTENGENEZA MLANGO MMOJA KWA LAKI SABA (HUHESO Digital Blog 18:48 0 Read more »
IGP WAMBURA AFANYA MABADILIKO MAKAMANDA WA MIKOA (HUHESO Digital Blog 11:40 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa katika kuboresha na kuongeza ufani... Read more »
BREAKINGNEWS: RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DIWANI (HUHESO Digital Blog 16:12 0 Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa kamishna Diwani Athumani Msuya aliyemteua tarehe 03 Januari 2023 kuwa kat... Read more »
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA NAFASI ZA UONGOZI SERIKALINI (HUHESO Digital Blog 06:33 0 Na Huheso digital Blog Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi katika Se... Read more »
RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO KAGANDA KUWA KAMISHINA WA POLISI (HUHESO Digital Blog 15:41 0 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Suzan Kag... Read more »
BREAKING NEWS: BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - RAIS AFANYA UTEUZI (HUHESO Digital Blog 23:01 0 Rais Samia amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri na Kumteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taif... Read more »
RAIS SAMIA AMTEUA MWANTUMU MAHIZA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (HUHESO Digital Blog 19:59 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti w... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA KAMISHNA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA (HUHESO Digital Blog 01:58 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebu, SACP Mzee Ramadhan Nyam... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA WENYEVITI AKIWEMO MTENDAJI MKUU WA STAMICO (HUHESO Digital Blog 01:44 0 Rais Samia ateua Wenyeviti wa Bodi za Mazao na Taasisi zinazosimamiwa na wizara ya kilimo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini... Read more »
RAIS AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI (HUHESO Digital Blog 19:03 0 Rais Samia amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Balozi Maajar anachukua nafas... Read more »