RAIS SAMIA AMTEUA MWANTUMU MAHIZA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 26 August 2022

RAIS SAMIA AMTEUA MWANTUMU MAHIZA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Bw. Ilomo ni Katibu Mkuu Mstaafu. Bw. Ilomo anachuka nafasi ya Dkt. Moses M. Kusiluka ambaye amemaliza kipindi chake.

Amemteua Bi. Mwantumu Bakari Mahiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali. Bi. Mahiza ni Skauti Mkuu Tanzania.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso