RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO KAGANDA KUWA KAMISHINA WA POLISI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 24 October 2022

RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO KAGANDA KUWA KAMISHINA WA POLISI




Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi.


Vile vile, Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi.


Kamishna Kaganda anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba ambaye atapangiwa kazi nyingine.


Uteuzi huu unaanza mara moja.


Zuhura Yunus


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso