SAFARI YA VIJANA WA NJOMBE KUTOKA KUPONDA KOKOTO HADI KIWANDA CHA CHUMA NKUMBI 19:58 0 Safari ya kimaendeleo kwa vijana wa Mkoa wa Njombe imekuwa kielelezo cha namna maisha yalivyo mchakato unaohitaji uvumilivu na uthubutu. Read more »
IMEBAKI KUJITANGAZA KWA NGUVU KAMA KATIKA UTALII TANZANIA KITOVU CHA TIBA NKUMBI 19:55 0 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) zimeingia mkataba wa mashirikiano ya kimkakati yenye lengo la ku... Read more »
ZAIDI YA KILO MILIONI 6.7 ZA PAMBA MBEGU KUTARAJIWA KUZALISHWA MBOGWE NA BUKOMBE NKUMBI 12:49 0 Zaidi ya kilo 6,750,000 za pamba mbegu zinatarajiwa kuzalishwa katika wilaya za Mbogwe na Bukombe katika msimu wa kilimo wa mwaka 2025/2026,... Read more »
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO OFISI YA RAIS – MIPANGO, DKT. TAUSI KIDA ATEULIWA KATIBU MKUU NKUMBI 10:03 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaj... Read more »
TUZO ZA VINARA 16 WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA ZATOLEWA, WiLDAF YAHIMIZA MAPAMBANO ZAIDI NKUMBI 21:51 0 Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF Tanzania), kwa kushirikiana na mtandao wa kupambana na ukatili wa kiji... Read more »
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KAHAMA YAVUNJA MKATABA WA MKANDARASI WA BARABARA ZA TACTIC NKUMBI 18:35 0 Na Neema Nkumbi Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imevunja rasmi mkataba wake na Mkandarasi Kampuni ya Sichuan Road and Bri... Read more »
CRDB FOUNDATION SASA TAYARI KUENDESHA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA NKUMBI 15:09 0 CRDB Foundation sasa tayari kuendesha mfuko wa maendeleo ya vijana Hatua ya kihistoria ya kusainiwa kwa hati ya makubaliano kati ya Wizara y... Read more »
SALOME MAKAMBA AZIAMSHA TAASISI ZA FEDHA, KUSAIDIA VIJANA WABUNIFU NISHATI SAFI NKUMBI 15:01 0 Serikali imezitaka taasisi za fedha nchini kuelekeza nguvu na uwekezaji kwa wajasiriamali pamoja na wabunifu wa kidijitali waliojikita katik... Read more »
MABILIONI KWA VIJANA HAYANA MAANA KAMA HAKUNA AMANI NA MAADILI NKUMBI 14:59 0 Wakati neema ya Sh bilioni 200 ikiwashukia vijana , sauti za wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini zimesisitiza kuwa amani ndiyo mhimili ... Read more »
DIRA YA RAIS SAMIA KUFUNGUA MILANGO YA UTAJIRI NA KUSHANGAZA AFRIKA NKUMBI 14:51 0 Dira ya Rais Samia Kufungua Milango ya Utajiri na Kushangaza Afrika Read more »
HII NDIYO AWAMU YA SITA, INAYOTUMIA SAYANSI NA TEKNOLOGIA KUHAKIKISHA UCHUMI ENDELEVU NKUMBI 14:46 0 Hii ndiyo Awamu ya Sita, inayotumia sayansi na teknolojia kuhakikisha uchumi endelevu Read more »