WATU 12 WANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUKUTWA NA NOTI BANDIA (HUHESO Digital Blog 10:44 0 Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbali... Read more »
MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO WA FFD (HUHESO Digital Blog 09:38 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa Mjadala wa Viongozi wa Ngazi ya Juu kuhusu u... Read more »
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AFAGILIA UWEKEZAJI WA SHABOUT NZEGA (HUHESO Digital Blog 08:59 0 Na Mwandishi wetu, Nzega KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2023 Abdalla Shaibu Kaim ameipongeza kampuni ya ASHARIQ CONSTRUCT... Read more »
PROF. NDALICHAKO AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUWA NA WATAALAMU WA LUGHA YA ALAMA (HUHESO Digital Blog 15:51 0 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Adam Shaibu (kulia) akieleza jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya W... Read more »
MWALIMU MBARONI KWA KUMNAJISI MWANAFUNZI (HUHESO Digital Blog 15:29 0 JESHI la polisi mkoani Mtwara linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi ya Mkalapa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumn... Read more »
WAHUKUMIWA MIAKA SITA KWA KOSA LA KUIBA PIKIPIKI KWA KUVUNJA OFISI YA DMO (HUHESO Digital Blog 15:15 0 Watu wawili akiwemo raia wa Burundi, Niyokindi Anthony (44), wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka sita jela baada ya kukiri kutenda kosa... Read more »
WENYE ULEMAVU WA MACHO WAOMBA BIMA ZA AFYA (HUHESO Digital Blog 14:48 0 Jamii ya watu wenye ulemavu wa macho wameomba kusaidiwa Bima Maalum ya Afya ili kuwasaidia katika matibabu. Mwenyekiti wa Chama cha wasioona... Read more »
GGML YATOA MILIONI 150 KUDHAMINI MAONESHO YA 6 YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA (HUHESO Digital Blog 14:36 0 Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kitengo cha usalama cha kampuni hiyo pi... Read more »
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI (HUHESO Digital Blog 14:29 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dkt Doto Biteko pamoja na viongozi wengine alipowasili... Read more »
TUME YATANGAZA MATOKEO JIMBO LA MBARALI NA KATA SITA ZA TANZANIA BARA (HUHESO Digital Blog 14:23 0 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa k... Read more »
RC IRINGA AZINDUA LISHE YA MIFUGO KUTOKA YARA TANZANIA (HUHESO Digital Blog 18:10 0 MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego ameisifu kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa mbolea nchini ya Yara Tanzania kwa kuzindua huduma ... Read more »
SAMAKI WAPANDA BEI (HUHESO Digital Blog 16:48 0 Upatikanaji wa samaki katika Soko la Kimataifa la Samaki Feri Dar es Salaam sio wa kuridhisha kutokana na upepo kuwa mkali baharini. Ofisa ... Read more »
BANDARI YA KILWA KUCHOCHEA UCHUMI (HUHESO Digital Blog 16:36 0 Bandari ya Kilwa iliyopo mkoani Lindi imekua ikitumika zaidi kwa shughuli za utalii na kwa kiasi kidogo shughuli za uvuvi. Kwa kuwa mkakati ... Read more »
MACHIFU WAONYA WATAKAOKWAMISHA CHANJO YA POLIO (HUHESO Digital Blog 16:31 0 Chifu Wa Kabila la Wasafwa mkoani Mbeya Rocket Mwanshinga. UONGOZI wa kimila wa Kabila la Wasafwa la Mkoani Mbeya umewataka wananchi kutoa u... Read more »
VIFAA VYA MIL 9 VYA MAABARA VYAKABIDHIWA DODOMA (HUHESO Digital Blog 12:43 0 ELIMU ndiyo mkombozi kwa vijana wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kuwasaidia kutoa mchango katika maisha yao na maendeleo ya tai... Read more »