Post Top Ad
Wednesday, 3 June 2026
Tuesday, 2 June 2026
Breaking : UMMY MWALIMU ATEULI KUWA MSHAURI WA RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bi. Ummy Ally Mwalimu kuwa Mshauri wa Rais anayeshughulikia...
MBUNGE ASIFU AMANI YA TANZANIA
MBUNGE wa Jimbo la Kahama Mjini, Benjamin Ngayiwa, amesema Tanzania ni nchi ya mfano kutokana na amani na utulivu inayodumu, wakati nchi nyi...
VIJANA LINDENI UMOJA NA AMANI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Wito umetolewa kwa vijana nchini kuendelea kuwa kielelezo cha utulivu, umoja na mshikamano, huku wakisisitizwa kutambua kuwa maendeleo hayaw...
VIJANA WATAKIWA KUIPENDA NCHI NA KULINDA AMANI
Vijana nchini wametakiwa kuipenda na kuilinda nchi yao, kudumisha amani na kuwa wazalendo ili kuchangia maendeleo ya taifa.
NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.
📌Aipongeza TANESCO kuendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa umeme. 📌Ahimiza TANESCO kuendelea kupanda miti kwa wing...
Monday, 1 June 2026
WANAFUNZI WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2026
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza rasmi uchaguzi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Vyuo vya Elimu na Ma...
ISMANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMCHAGUA MRITHI WA LUKUVI
Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura y...
ONDOKENI KWENYE CHUKI ZA KISIASA MSIWE MBUZI WA KAFARA VIJANA WAONYWA
Vijana nchini wameonywa kutokubali kugeuzwa mbuzi wa kafara kwa kufuata matamko ya uchochezi na chuki yanayosambazwa kwenye mitandao ya kija...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.