Post Top Ad
Tuesday, 11 November 2025
Monday, 10 November 2025
WEWE NI NGUVU YANGU WIMBO KUTOKA KWA GRACE OF AFRICA
Grace of Africa rasmi wameachia wimbo mpya wa injili, “Wewe ni Nguvu Yangu (You’re My Strength)”, unaohamasisha imani, tumaini, na nguvu ...
TANZANIA YATHIBITISHA ULIMWENGUNI: NCHI IKO SALAMA KWA UTALII NA UWEKEZAJI — DKT. ABBASI ATOA KAULI RIYADH
Na Mwandishi Wetu, Riyadh Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, ameuaminisha ulimwengu kwamba hali ya utalii na ...
SAUTI ZA MTAA: NJAA, HOFU NA MAISHA MAGUMU YANATAKA UMOJA IMARA WA KITAIFA
Sauti za wananchi wa kawaida zimebainisha jinsi vurugu zilivyosimamisha maisha. Familia ziliteseka na njaa, watoto walikosa shule, na wazazi...
UPONYAJI WA AKILI: KUTOKA HOFU HADI KUJIAMINI TENA NA KURUDI KWENYE KAZI
Madhara ya vurugu hayako tu kwenye uharibifu wa mali na uchumi, bali pia kwenye afya ya akili ya wananchi. Watu wengi walibaki na hofu na ki...
VIJANA WAASWA KUEPUKA MKUMBO, UMRI HAUONDOI UWAJIBIKAJI
Ujumbe mzito umetolewa kwa kundi la vijana, ambao walitajwa kuingia kwenye mkumbo wa kuiga matukio mabaya bila kutambua athari zake. Vijana ...
UZALENDO NI KUJENGA: TUTHAMINI NA KULINDA MALI YA TAIFA LETU
Vitendo vya kuharibu miundombinu kama vile kuchoma magari ya umma (BRT) vimekosolewa vikali, vikitajwa kama kukosa Uzalendo na kujiharibia ...
Sunday, 9 November 2025
KUTOKA MACHUNGU HADI UPENDO: WATANZANIA WAOMBA KURUDI KWENYE MAADILI BORA
Vurugu zilizotokea nchini hivi karibuni zimeacha majeraha, lakini pia zimechochea wito wa kitaifa wa kurejea kwenye misingi ya Utanzania—Maa...
UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WENZETU
Baada ya taharuki, hatua muhimu ni kuanzisha mchakato wa Maridhiano ya Kitaifa. Lengo ni kuwezesha jamii, kisiasa, na kidini kuketi pamoja,...
UTULIVU WA SIASA NDIO NGAO KUU: WATANZANIA WAASWA KUTAMBUA THAMANI YA NCHI YAO
Wito mzito umetolewa kwa kila Mtanzania kutafakari kwa kina na kutambua thamani halisi ya Taifa lao (Utaifa). Wataalamu wa masuala ya jamii ...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.