DUNIA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA JUA LEO (HUHESO Digital Blog 11:03 0 Baadhi ya maeneo Duniani watanufaika na tukio adhimu la kupatwa kwa Jua siku ya leo tarehe 8 April 2024. Picha ya mfano Ambapo kuanzia maj... Read more »
MAAFISA WA REGROW WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI KATIKA UTENDAJI WA KAZI (HUHESO Digital Blog 19:09 0 Maafisa wanaotekekeza Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania REGROW wamesisitizwa kuendelea kutele... Read more »
MBUNGE WA USHETU, CHEREHANI APONGEZWA KWA ZAWADI YA MBUZI NA WANANCHI KWA KUWEZESHA MAWASILIANO YA SIMU (HUHESO Digital Blog 16:38 0 Wananchi wa Kijiji cha Ngokolo katika Kata ya Bukomela halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamemuomba mbunge wa jimbo hil... Read more »
WAZIRI WA ARDHI NA WAZIRI TAMISEMI WATOA MWELEKEO WA KUMALIZA CHANGAMOTO ZA ARDHI NCHINI (HUHESO Digital Blog 15:28 0 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kuhakikisha wanawahudumia wananchi kw... Read more »
DK. NCHIMBI AWEKA MSIMAMO DIPLOMASIA YA UCHUMI NA SIASA KUNUFAISHA TANZANIA (HUHESO Digital Blog 15:15 0 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake, Ndugu Dk. Sam... Read more »
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH (HUHESO Digital Blog 15:05 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu kushughulikia changamoto mbalimbali kama v... Read more »
KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA AFRIKA UINGEREZA (HUHESO Digital Blog 11:36 0 Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Seif Shekalaghe, amekutana na Waziri wa Maendeleo na Afrik... Read more »
SERIKALI KUONGEZA VITUO 4 VINAVYOTOA HUDUMA ZA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na taratibu za uwekezaji kwa kuongeza vituo vingine 4 kwa kujenga majengo na kuviwezesha vifaa vi... Read more »
TANZANIA YAPOKEA SHILI BILIONI 45 KUBORESHA UZAZI WA MPANGO (HUHESO Digital Blog 11:15 0 Serikali ya Uingereza imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania kwa kutoa Bilioni 45 kusaidia kufanikisha huduma za uzazi wa mpango... Read more »
AFARIKI KWA KUDONDOKEWA NA UKUTA MOROGORO (HUHESO Digital Blog 16:24 0 Mtu mmoja Ibrahim Juma Ramadhan (44), amefariki baada ya kuangukiwa na ukuta wa ghorofa lililopo mtaa wa Sugume Kata ya Mwembesongo Manispaa... Read more »
WINGI WA MIZANI WAMKERA MBUNGE TABASAMU (HUHESO Digital Blog 15:36 0 Mbunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis Tabasamu amelalamikia umakini mdogo wa upimaji magari barabarani na kuitaka Wizara ya Ujenzi kuja na maj... Read more »
Mbunge alia na mafao kwa wastaafu (HUHESO Digital Blog 15:15 0 Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, amesema bado kuna malalamiko mengi ya watumishi wa umma kuhusu malipo ya mafao yao kup... Read more »
ASHA AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUMBAKA MVULANA WA MIAKA 15 MTWARA (HUHESO Digital Blog 14:56 0 Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Ismail Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kujihusi... Read more »