Post Top Ad
Wednesday, 20 March 2024
Tuesday, 19 March 2024
SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA-ARUSHA
(HUHESO Digital Blog
14:22
0
SERIKALI imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286. Akishuhudia uti...
KAYA 77 ZENYE WATU 463 ZAAGWA NGORONGORO
(HUHESO Digital Blog
14:15
0
KAYA 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika ofisi za mamlaka ...
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA GEITA PENEZA NI MCHUNGAJI MWEMA LAZIMA WAMFUATE WAFUASI WAKE
(HUHESO Digital Blog
14:10
0
Kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa mhasibu wa kanda ya ziwa wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ,Upendo Furaha Peneza na kurudi chama ...
POLISI KUENDELEA KUWABANA WANAVUNJA SHERIA,WANANCHI WANAOMBA OPERESHENI 3D IENDELE
(HUHESO Digital Blog
14:07
0
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kimeendelea na operesheni ya kutoa elimu na kuwakamata wale wote wanaoendelea kuvunja sheria z...
SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI
(HUHESO Digital Blog
13:19
0
Serikali imeahidi kutoa kipaumbele kwenye suala la changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa madini nchini, ili kuiwezesha sekta hiyo kut...
MCHENGERWA AIPA DART MIEZ SABA KUPATA MWEKEZAJI BINAFSI
(HUHESO Digital Blog
12:46
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa ameielekeza Wakala wa Mabasi yaendayo hara...
VIJANA KUWENI CHACHU YA KULETA MAENDELEO – RC MACHA
(HUHESO Digital Blog
07:06
0
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amesema vijana ni nguvu kazi ya Taifa hivyo wana w...
Monday, 18 March 2024
WAZIRI WA MADINI ANTONY MAVUNDE AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO YA MADINI WILAYANI KAHAMA ATAJA MIKAKATI YA SERIKALI KUKUZA THAMANI YA MADINI
(HUHESO Digital Blog
15:36
0
Waziri wa madini Antony Mavunde (mb) amezindua kituo cha mafunzo cha Barrick Academy wilayani Kahama mkoani shinyanga chenye malengo ya kuon...
MCHELE KUTOKA MAREKANI NI SALAMA-TBS
(HUHESO Digital Blog
13:01
0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula ulitolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani umefuata taratibu za kuingizwa nchini...
KAMATI YA LAAC IMEKAGUA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA
(HUHESO Digital Blog
12:20
0
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imesikitishwa na kutotumika kwa majengo ya Hospitali ya Manispaa ya Bukoba kutokana na kukosa u...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.