UCHAGUZI WA RAIS KUFANYIKA MWEZI HUU (HUHESO Digital Blog 18:53 0 WAPIGA kura nchini Senegal wataamua hatma ya rais wao ajaye mnamo Machi 24, Rais Macky Sall ametangaza leo. Baraza la Katiba lilitoa uamuzi ... Read more »
SHAMBA LA CHANGANYWA BANGI, MAHINDI NA ALIZETI (HUHESO Digital Blog 11:45 0 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini wamefanikiwa kuteketeza zaidi ya ekari 50 za bangi eneo la ... Read more »
SAQWARE ABAINISHA SULUHISHO MTIFUANO NHIF, APHFTA (HUHESO Digital Blog 09:40 0 Akitoa suluhisho la kudumu kutokana na mtifuano huo kati ya NHIF na watoa huduma binafsi, Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania ... Read more »
WENYEVITI ACT WAZALENDO (HUHESO Digital Blog 18:10 0 Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo umemchagua Othuman Masoud kuwa mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuchaguliwa kwa kura 539, sawa na ... Read more »
DOROTHY SEMU AMRITHI ZITTO (HUHESO Digital Blog 17:57 0 Dorothy Semu amechaguliwa kuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, akichukua nafasi ya Zitto Kabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kw... Read more »
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MAENEO YAO (HUHESO Digital Blog 17:35 0 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wananchi wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kujitokeza kwa wingi kuomba maeneo ... Read more »
ZUCHU AOMBA RADHI BAADA YA KUFUNGIWA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 16:53 0 Msanii, Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu ameomba radhi mashabiki wake na jamii kwa ujumla baada ya kufungiwa na Baraza la Sanaa, Sensa, Fi... Read more »
ICC YATOA HATI KUKAMATWA MAKAMANDA WAKUU WA RUSSIA (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa makamanda wakuu wa Russia, kwa tuhuma za uhalifu wa kivita nchini Ukrain... Read more »
CUBA NA TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI (HUHESO Digital Blog 12:51 0 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba, nchini Tanzan... Read more »
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA DKT. JAMES PETER MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI. (HUHESO Digital Blog 17:33 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya ... Read more »