MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 30 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 06:19 0 Tafadhali pitia Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumanne tarehe 30 Agosti 2022 Read more »
KITUO CHA KULEA WATOTO WACHANGA CHA NTOMA CHA PATIWA MISAADA NA WANANCHI CHAIOMBA SERIKALI KUKIFUTIA KODI MISAADA TOKA NJE (HUHESO Digital Blog 16:57 0 Na: Mutaoba Arbogast,Bukoba ASKOFU Dr Abdnego Nkamuhabwa keshomshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Dayosisi ya Kaskaz... Read more »
BENCHI LA UFUNDI TAIFA STARS LATIMULIWA BAADA YA KICHAPO CHA UGANDA (HUHESO Digital Blog 16:46 0 Read more »
SENSA YA WATU NA MAKAZI YAONNGEZWA SIKU SABA (HUHESO Digital Blog 14:10 0 Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Anna Makinda amesema hadi kufikia saa mbili asubuhi ya leo kaya zilizohesabiwa ni asilimia 93.45 na hivyo... Read more »
SABAYA NA WENZAKEWAFIKISHWA MAHAKAMANI (HUHESO Digital Blog 13:47 0 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, kwa aj... Read more »
MAJAJI WAPYA 21 NA KAMISHNA WA MAGEREZA WAAPISHWA LEO IKULU DODOMA (HUHESO Digital Blog 13:25 0 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Agosti 29, 2022, amemwapisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhan Nyamka pamoja n... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 29 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 09:01 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 29 Agosti 2022 Read more »
JAMAA AKAMATWA AKIWA NA TAYA YA BINADAMU-KIGOMA (HUHESO Digital Blog 19:56 0 Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Taimu Kaogoma mkazi wa Kijiji cha Gwanupu wilayani Kakonko m... Read more »
JAJI MTUNGI ATIMULIWE AMESHINDWA KUTATUA MIGOGORO YA CHAMA (HUHESO Digital Blog 19:49 0 Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F... Read more »
NJOMBE YAMALIZA KUHESABU WATU-RC ATOA PONGEZI (HUHESO Digital Blog 15:09 0 Mkoa wa Njombe umemaliza dodoso kuu la sensa ya watu kwa zaidi ya asilimia 100 kabla ya siku zilizopangwa kukamilika. Sensa ya Watu na Makaz... Read more »
WATUMISHI FEKI WA TAMISEMI MIKONONI MWA POLISI WAKUTWA NA LAINI ZAIDI YA 120 (HUHESO Digital Blog 15:04 0 Jeshi la Polisi Mkoani hapa linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kujihusisha kwa kujifanya maofisa kutoka Tawala za Mikoa na Serikali za... Read more »
MAWE YA TANZANITE YA BILIONI 2.24 YAUZWA, ANSELIM BILIONEA MPYA MIRERANI (HUHESO Digital Blog 08:21 0 Kwa mara nyingine ndani ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani, amepatikana bilionea mpya wa madini ya Tanzanite anayefahamika kwa j... Read more »