SABAYA AFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA KESI YAAHIRISHWA (HUHESO Digital Blog 12:51 0 Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wan... Read more »
WALIOTEULIWA AJIRA ZA MUDA SENSA MANISPAA YA KAHAMA (HUHESO Digital Blog 21:52 0 Tazama majina ya walioteuliwa ajira za muda Sensa Manispaa ya Kahama GUSA HAPA CHINI KWENYE MAJINA MAJINA YA WALIOTEULIWA SENZA MANISPAA ... Read more »
WATENDAJI 17 WAFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAKUKURU DODOMA KWA UBADHILIFU WA FEDHA (HUHESO Digital Blog 20:30 0 MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Sosthenes Kibwango,amesema kuwa wamefanikiwa kuwafikisha Mahakamani... Read more »
DKT.MPANGO ASHIRIKI MISA YA UPADIRISHO WILAYA KASULU (HUHESO Digital Blog 20:20 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 28 Julai 2022 wam... Read more »
HAKUNA MWENYE HAKIMILIKI YA UONGOZI CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) (HUHESO Digital Blog 16:35 0 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema nafasi za uongozi ndani ya Chama hicho haina miliki n... Read more »
CHANJO YA UVIKO-19 INAPONZWA NA IMANI POTOFU (HUHESO Digital Blog 16:12 0 WAKATI hivi sasa Serikali ipo kwenye shughuli ya kuhakikisha wananchi wake wanapata chanjo ya UVIKO-19 ili kuondokana na janga la maradhi ha... Read more »
AJALI ZA BARABARANI ZAONGOZA KUSABABISHA ONGEZEKO LA WAGONJWA MOI (HUHESO Digital Blog 16:06 0 TAASISI ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kufanyia upasuaji wa kibingwa wagonjwa 7113 wa tiba ya m... Read more »
42 WAFARIKI KWA KUNYWA POMBE (HUHESO Digital Blog 14:48 0 Watu wasipungua 42 wamekufa na wengine kiasi 100 wamelazwa hospitali katika jimbo la magharibi mwa India la Gujarat baada ya kunywa pombe ye... Read more »
ASUSIA KUJITETEA KWENYE KESI INAYOMKABILI MAHAKAMA YATOA HUKUMU YA MIAKA 30 JELA-DAR (HUHESO Digital Blog 13:45 0 Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, Said Issa baada ya kupatikana n... Read more »
JELA MIAKA 30 KWA UBAKAJI WA MTOTO WAKE WA KUMZAA NZEGA-TABORA (HUHESO Digital Blog 13:18 0 Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Masanja shija(58) baada ya kupatikana hatia ya k... Read more »
MWILI WA MWANAUME WAOKOTWA UKIELEA KWENYE BWAWA LA MAJI-MWANZA (HUHESO Digital Blog 13:06 0 Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35 amekutwa amefariki katika bwawa la maji lililopo Buhongwa wilayani Nyamagana mkoa... Read more »
VIONGOZI NGAZI YA KATA KUSWEKWA NDANI IKITOKEA UCHOMAJI MOTO KATIKA MAENEO YAO, DC MISENYI AAGIZA (HUHESO Digital Blog 09:31 0 Mkuu wa wilaya ya Misenyi Misenyi Mkoani Kagera Kanali Wilson Sakulo amemwagiza OCD wa wilaya hiyo kuhakikisha vinapotokea vitendo vya moto... Read more »
BREAKNEWS: ALBERT CHALAMILA ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA KAGERA, MTAKA WA DODOMA APELEKWA NJOMBE (HUHESO Digital Blog 07:12 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, amemhamisha kituo cha kazi aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Queen Cuthbert ... Read more »
RAIS SAMIA APANGUA SAFU YA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA (HUHESO Digital Blog 06:50 0 Pitia orodha yote ya Makatibu tawala wa mikoa walioteliwa hapa chini Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 28 JULAI 2022 (HUHESO Digital Blog 06:44 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamisi tarehe 28 Julai 2022 Read more »