MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 27 MEI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:13 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Ijumaa tarehe 27 Mei 2022 Read more »
RUWASA KAHAMA YAFANYA MKUTANO MKUU-USHETU WATAKA MAJI YA ZIWA VICTORIA (HUHESO Digital Blog 18:52 0 Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini (RUWASA) wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga umefanya Mkutan... Read more »
WANANCHI WANAOTOA ARDHI WALIPWE FIDIA KWA WAKATI-MAJALIWA (HUHESO Digital Blog 16:05 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ihakikishe Watanzania wanaotoa ardhi yao waliyomilikishw... Read more »
AMCHINJA MKEWE NA KUMKATA SEHEMU ZA SIRI MBELE YA MTOTO (HUHESO Digital Blog 14:51 0 Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Ndinyika, Kata ya Karansi wilayani Siha, Stephano Sikawa (33), kwa tuhu... Read more »
WAFANYABIASHARA WAWILI WA BANGI WANASWA NA POLISI-MOROGORO (HUHESO Digital Blog 14:03 0 Morogoro. Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujihusisha na uuzaji na usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya ba... Read more »
MWALIMU MKUU AUAWA NA WASIOJULIKANA-KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 13:53 1 Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza... Read more »
UMRI WA KUSTAAFU LAZIMA MIAKA 60- PROFESA KATUNDU (HUHESO Digital Blog 13:46 0 Serikali imetangaza kiwango kipya cha kikotoo cha mafao ya mkupuo ambapo sasa ni asilimia 33 kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii. Kauli hiyo... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 26 MEI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:12 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Alhamisi tarehe 26 Mei 2022 Read more »
AHUKUMIWA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MTOTO - IRINGA (HUHESO Digital Blog 22:32 0 Mahakama ya wilaya ya Iringa, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Jofrey Mtokama (21), mkazi wa Kijiji cha Igluba mkoani Iringa baada ya ku... Read more »
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA NAIBU GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (HUHESO Digital Blog 20:47 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Naibu wa Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msem... Read more »
NAFASI ZA KAZI 20 - KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU (HUHESO Digital Blog 17:53 0 Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya... Read more »
MBATIA ASIMAMISHWA KUJIHUSISHA NA NCCR MAGEUZI (HUHESO Digital Blog 17:17 0 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimami... Read more »
NAFASI ZA KAZI 9 - JIJI LA MBEYA (HUHESO Digital Blog 17:03 0 Halmashauri ya Jiji la Mbeya inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya... Read more »
PUNDA MBIONI KUTOWEKA NCHINI SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UCHINJAJI (HUHESO Digital Blog 14:19 0 Serikali imesitisha shughuli zote za biashara ya uchinjaji wa punda nchini kutokana na kupungua kwa idadi ya wanyama hao. Waziri wa Mifugo n... Read more »
NAFASI ZA KAZI 18 - HALMASHAURI YA SHINYANGA, WATENDANJI VIJIJI (HUHESO Digital Blog 11:57 0 Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ... Read more »