NAFASI ZA KAZI 9 - JIJI LA MBEYA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 25 May 2022

NAFASI ZA KAZI 9 - JIJI LA MBEYA

 


Halmashauri ya Jiji la Mbeya inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo

1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 6

2. Katibu Mhutasi Daraja la III - Nafasi 2

3. Mhudumu wa Jikoni - Nafasi 3


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo

MKURUGENZI WA JIJI,

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA,

S.L.P 149,

MBEYANo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso