NAFASI ZA KAZI 20 - KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 25 May 2022

NAFASI ZA KAZI 20 - KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU

 

Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo


1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 16

2. Katibu Mhutasi Daraja la III - Nafasi 2

3. Dereva Daraja la II - Nafasi 2


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo


MKURUGENZI MTENDAJI (W),

S.L.P 1288,

KISHAPU






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso