NAFASI ZA KAZI 18 - HALMASHAURI YA SHINYANGA, WATENDANJI VIJIJI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 25 May 2022

NAFASI ZA KAZI 18 - HALMASHAURI YA SHINYANGA, WATENDANJI VIJIJI

 

Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo

1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 16

2. Katibu Mhutasi Daraja la III - Nafasi 2


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo

MKURUGENZI MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA,

S.L.P 113,

SHINYANGA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso