NAFASI ZA KAZI 16 - MANISPAA YA KAHAMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 25 May 2022

NAFASI ZA KAZI 16 - MANISPAA YA KAHAMA


Halmashauri ya Manispaa ya Kahama inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo

1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 10

2. Katibu Mahususi Daraja la III - Nafasi 2

3. Dereva Daraja la II - Nafasi 2

4. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - Nafasi 2


Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo

MKURUGENZI WA MANISPAA,

HALMASHAURI YA MANISPAA YA KAHAMA,

BARABARA YA BOMA,

S.L.P 472,

KAHAMA - SHINYANGANo comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso