HALI NI SHWARI KOTE NCHINI: JESHI LA POLISI LATHIBITISHA UTULIVU, JARIBIO LA KUCHOCHEA GHASIA LAPUUZWA NKUMBI 20:20 0 Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha rasmi kuwa hali ya usalama nchini kote ni shwari, huku jaribio la baadhi ya vikundi vya mtandaoni l... Read more »
JESHI LA POLISI LAWAONYA WACHOCHEZI WA MITANDAONI, LATHIBITISHA HALI YA USALAMA NI SHWARI NKUMBI 12:13 0 Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa kwa umma, likiwaonya Watanzania kuhusu mbinu zinazotumiwa na wachochezi wa mitandaoni, amba... Read more »
AMANI NI MTAJI: MKUU WA MKOA WA TANGA AWAONYA VIJANA HATARI YA KUSIKILIZA UCHOCHEZI NKUMBI 10:27 0 Maafisa wa Serikali na viongozi wa vijana wameendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda amani na utulivu wa taifa, huku ikitolewa tahadhari kwa ... Read more »
WATANZANIA WAHIMIZWA KUIENZI AMANI, KUKATAA UDINI NA UKABILA NKUMBI 09:44 0 Watanzania wakiadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanzania Bara wametakiwa kuendelea kuienzi amani, utulivu na mshikamano vilivyo nguzo kuu za m... Read more »
UONGOZI BORA HUWEZESHA MASLAHI YA KITAIFA NKUMBI 09:18 0 Tanzania imeendelea kung’ara kimataifa baada ya kushinda tuzo ya dunia katika sekta ya utalii kwa mwaka wa pili mfululizo, ikitambuliwa kama... Read more »
TBN YATOA SALAAM ZA MIAKA 64 YA UHURU, YASISITIZA AMANI NA WAJIBU WA KUJENGA TAIFA NKUMBI 09:09 0 Tanzania Bloggers Network (TBN) leo imetoa salamu za pongezi kwa Watanzania wote katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ikisisitiza umuhim... Read more »
MCHOCHEZI WA MITANDAONI: ANAWAONGOZA WENGINE WATESEKE, HUKU YEYE AKIKIRI KUFURAHIA MAISHA MAREKANI NKUMBI 08:23 0 Kumekuwa na wito kwa Watanzania kutafakari kwa kina kauli za uchochezi zinazoenezwa na baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii, hususan k... Read more »
VIONGOZI WA DINI NA WADAU WAUNGANA KUPINGA CHOKOCHOKO, WASISITIZA AMANI NKUMBI 18:31 0 Katikati ya hali ya sintofahamu inayochochewa na miito ya maandamano yasiyo na kikomo kutoka kwa baadhi ya wachochezi wa nje, Watanzania wam... Read more »
LICHA YA CHOKOCHOKO: TANZANIA YAENDELEA KUAMINIWA KIMATAIFA, ARUSHA KUANDAA MKUTANO MKUU WA IPU NKUMBI 18:27 0 Licha ya kuwepo kwa kampeni za uchochezi na miito ya kutatiza amani inayosambazwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii, jamii ya kimataifa imedh... Read more »
AMANI NDIY0 MTAJI MKUU WA KIUCHUMI: WAJASIRIAMALI WAONYA DHIDI YA MAANDAMANO YA DESEMBA 9 NKUMBI 18:26 0 Wajasiriamali nchini Tanzania wameibuka na onyo kali, wakipinga vikali miito ya kufanya maandamano yasiyo na kikomo, ikiwemo ile iliyopangwa... Read more »
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI NKUMBI 18:19 0 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tan... Read more »
TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS NKUMBI 18:16 0 Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, today held talks with the Acting United States Ambass... Read more »
TAHLISO YAJITOA, YASEMA AMANI NI MSINGI WA USTAWI WA KITAIFA NKUMBI 16:44 0 Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) imesisitiza msimamo wake thabiti wa kutoshiriki wala kuunga mko... Read more »
UMOJA WA KITAIFA KUPINGA MIITO YA MAANDAMANO HARAMU NKUMBI 16:40 0 Katikati ya miito inayoendelea ya 'maandamano yasiyo na ukomo' yanayoratibiwa na wachochezi, viongozi wakuu wa taasisi za dini, jumu... Read more »