Post Top Ad
Friday, 24 April 2026
Thursday, 23 April 2026
MADHARA YA KIUCHUMI NA KISAIKOLOJIA: HASARA NI SH BILIONI 125 ,VILIO NA MSONGO WA MAWAZO
Ripoti ya Tume ya Jaji Othman Chande imefichua pigo kubwa la kiuchumi lililolipata taifa kufuatia ghasia za Oktoba 29, 2025, huku mali zeny...
JAJI CHANDE APASUA JIPU;HAKUNA MAKABURI YA HALAIKI WALA UTESAJI DAR
Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani imetoa majibu ya kisayansi na kiuchunguzi kufuatia madai yaliyosambaa kimataifa na kwenye ...
MAPENDEKEZO YA TUME NI DAWA CHUNGU, LAZIMA INYWEWE KULIPONYA TAIFA
Katika kile kinachoonekana kama mwanzo wa ukurasa mpya wa siasa na amani nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya Tume ...
RAIS SAMIA ATANGAZA MAAMUZI SITA MAZITO
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mkakati wa haraka wa mambo sita yenye lengo la kuirejesha Tanzania kwenye misingi yake ya amani, ukiwa ...
JAJI CHANDE ATAJA VYANZO VYA MSINGI VYA USHIRIKI GHASIA
Wakati ghasia za Oktoba 2025 zikionekana kuwa na sura ya kisiasa, Tume ya Jaji Othman Chande imebaini vyanzo vitano vya ndani vilivyotoa mpe...
MBINU CHAFU ZA WANASIASA,MITANDAO ZATAJWA GHASIA ZA OKTOBA 29
Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025, imeweka hadharani mkakati wa kundi la wanasiasa na wanaharakati...
RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa ...
SERIKALI YAONGEZA NGUVU KWA WACHIMBAJI WADOGO, YASISITIZA USALAMA MIGODINI
Wakaguzi wakuu wa migodi watakiwa kupewa fursa zaidi kuimarisha usalama na utunzaji wa mazingira 📍KAHAMA Serikali imeendelea kusisitiza umu...
VIFO 518 VYATHIBITISHWA, GHASIA ZA UCHAGUZI 2025 ZILIPANGWA : RIPOTI YA JAJI CHANDE
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, leo amewasilisha ripoti ya t...
JAJI CHANDE : BAADHI YA PICHA ZILIZOSAMBAA WAKATI WA UCHAGUZI ZILITENGENEZWA KWA AI
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande, amesema ushahidi wa kidijitali uliof...
KAULI ZA JAJI CHANDE AKIWASILISHA RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI - UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan , leo Aprili 23, 2026, amepokea ripoti ya Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza ...
Live : RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI - UCHAGUZI MKUU – 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anapokea ripoti ya Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa a...
IMANI KWA TUME: SAFU YA WATAALAMU INAYOBEBA HATIMA YA MARIDHIANO TANZANIA
Wakati Watanzania wanasubiri kwa hamu kutolewa kwa ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 le...
HAMU YA MARIDHIANO: VIONGOZI WA DINI NA WANASIASA WAHIMIZA AMANI BAADA YA RIPOTI
Viongozi wa dini na wanasiasa nchini wametoa mwito wa dhati kwa Watanzania kudumisha amani, utulivu, na mshikamano kufuatia kukamilika na ku...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.