Post Top Ad
Saturday, 6 June 2026
PUTIN AIKUBALI TANZANIA, AELEZA JINSI ILIVYO MUHIMU KATIKA UCHUMI WA DUNIA
Na Beda Msimbe, TBN, St. Petersburg
Friday, 5 June 2026
JUKWAA LA TANZANIA–URUSI LILIVYOINUA HADHI YA TANZANIA KATIKA JUKWAA LA KIMATAIFA
Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jukwaa la Biashara Tanzania–Urusi na Jukwaa la 29 la K...
SAFARI ZA MOSCOW NI MAFANIKIO YA KIHISTORIA KWA TANZANIA
Miongoni mwa matokeo makubwa yaliyoibuka katika ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni tangazo la kuanza kwa safari za moja ...
SAMIA AITANGAZA TANZANIA DUNIANI, AFUNGUA FURSA MPYA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI URUSI
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Shirikisho la Urusi imeonyesha namna Tanzania inavyozidi ...
MTATIRO: AMANI YA TANZANIA YAVUTIA WAWEKEZAJI NA KUCHOCHEA MAENDELEO
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro, amesema utulivu na amani iliyopo nchini Tanzania imeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa wawekezaji ...
Thursday, 4 June 2026
NYAKANYENGE AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU HAPI SHINYANGA, ZIARA YA SIKU MBILI.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wazazi, CCM Taifa , Edwin Nyakanyenge, ameongoza mapokezi ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapind...
AMANI, UCHUMI NA MAENDELEO
Amani, uchumi na maendeleo ni nguzo kuu tatu zinazohusiana kwa karibu katika maendeleo ya taifa lolote. Amani hutoa mazingira mazuri kwa uch...
VIJANA NA WAJIBU WA KULINDA AMANI KATIKA JAMII
Katika dunia ya leo, amani imeendelea kuwa nguzo muhimu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.
UHUSIANO WA TANZANIA NA URUSI: MARAFIKI WA KWELI NA WASHIRIKA WA MAENDELEO
Tanzania na Urusi zina uhusiano wa kihistoria wenye hekima, heshima na ushirikiano wa pande mbili unaoheshimiana.
RAIS SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA NCHINI URUSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Doctor Honoris Causa) ...
HAMAD RASHID: TUJIFUNZE KUTOKA HII FILAMU NA KAJENGA TAIFA LENYE UMOJA NA AMANI.
Filamu ya uchunguzi iliyotengenezwa na mwanahabari wa uchunguzi kutoka Nigeria anayeishi Ghana, David Hundeyin, imezua mjadala mpana kuhusu ...
Wednesday, 3 June 2026
WANASIASA WAPAZA SAUTI KUTAKA MARIDHIANO
Chama cha ACT Wazalendo, chini ya Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman (Omo) kimefanya mkutano na wadau wa demokrasia kujadili namna ya kudu...
SAMIA AIPELEKA TANZANIA KATIKA RAMANI MPYA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NCHINI URUSI
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Urusi si tukio la kawaida la kidiplomasia. Ni hatua muhim...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.