Post Top Ad
Friday, 17 April 2026
Thursday, 16 April 2026
JK AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA JUMUIYA YA MADOLA, RAIS MSTAAFU WA MALAWI DKT. LAZARUS CHAKWERA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, lamemkaribisha Rais Mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera,...
MHE. LAZARUS CHAKWERA AMALIZA ZIARA YA SIKU 9 NCHINI
Mhe. Lazarus Chakwera amaliza ziara ya sikiu 9 nchini Na Mwandishi wetu Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambaye pia ni Rais...
TAFAKARI YA KITAIFA: AMANI NA UMOJA KAMA MHIMILI WA MAENDELEO YA TANZANIA
Katika mazingira ya siasa za Tanzania ya sasa, mijadala kuhusu amani, utulivu, na umoja wa kitaifa imevuka mipaka ya taasisi rasmi na kuwa s...
SIDO YACHOCHEA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI KAHAMA
Na Paul Kayanda, Kahama SHIRIKA la Kuhudumia Viwanda Vidogo nchini (SIDO) limewahamasisha wananchi na wadau wa maendeleo katika Wilaya ya Ka...
Wednesday, 15 April 2026
PRESIDENT SAMIA RECEIVES COMMONWEALTH MESSAGE AT DAR ES SALAAM STATE HOUSE
Commonwealth Secretary-General Shirley Ayorkor Botchwey has reaffirmed the Commonwealth's commitment to continued engagement with Ta...
MABALOZI WASTAAFU KUONGEZA NGUVU KATIKA KUIMARISHA DEMOKRASIA YA NCHI
Na Mwandishi wetu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kuweka utaratibu wa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu ...
VIJANA KAHAMA WATAKA AMANI IDUMISHWE KWA MASLAHI YA WANANCHI NA UCHUMI WA TAIFA
Baadhi ya vijana wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani nchini, wakieleza kuwa utuliv...
UTULIVU NA AMANI YA KITAIFA YACHOCHEA ONGEZEKO LA UWEKEZAJI WA TRILIONI 60 NCHINI
Ripoti ya Uwekezaji Tanzania 2025 inaonesha kuwa jitihada za serikali katika kudumisha amani, utulivu, na mshikamano wa kitaifa zimeendelea ...
JAJI MKUU MSTAAFU: TANZANIA INA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO ZAKE
Mjumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu mstaafu Profesa Ibrahim Juma, amebainisha...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.