ZIMAMOTO KAHAMA WAFANYA KAGUZI KINGA, KUMBI ZA STAREHE NA KWENYE MIKUSANYIKO NKUMBI 17:54 0 Mkuu wa kituo cha jeshi la zimamoto na uokoaji wilayani Kahama mkoani Shinyanga Hafidhi Omari akitoa elimu kwa mtoto Mary Michael ya namna... Read more »
VYOMBO VYA ULINZI: MUHIMILI WA AMANI NA MAENDELEO TANZANIA NKUMBI 17:33 0 Vyombo vya ulinzi na usalama nchini vimeendelea kutajwa kuwa mhimili mkuu wa amani na utulivu wa muda mrefu, hali inayotoa fursa kwa wananch... Read more »
PASAKA YAHITIMISHWA KWA WITO WA AMANI NA HAKI TAIFA ZIMA NKUMBI 17:22 0 Sherehe za Pasaka zinazoadhimisha ufufuko wa Mwokozi Yesu Kristo zimehitimishwa jana nchini, huku kukiwa na msisitizo mkubwa kutoka kwa vion... Read more »
FUNZO KWA VIJANA KUTOKA KATIKA OPERESHENI YA POLISI TANGA NKUMBI 17:11 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kufanya operesheni kabambe na kuwaokoa vijana 87 waliokuwa wamenaswa katika mtego wa utapeli ulio... Read more »
MRADI WA UMWAGILIAJI MAKAMBAKO KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA NKUMBI 17:07 0 Serikali imetangaza kuanza kwa mradi mkubwa wa umwagiliaji katika eneo la Idofi, Wilaya ya Makambako, hatua inayolenga kukuza uchumi wa wana... Read more »
BOT ‘YAVAMIA’ MITAA KUNUSURU WANANCHI NA MIKOPO YA ‘KAUSHA DAMU’ NKUMBI 20:27 0 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua madhubuti kunusuru hali za kiuchumi za wakazi wa Jiji la Mwanza kwa kushusha timu ya wataalamu ... Read more »
MAASKOFU WAONYA MMOMONYOKO WA UTU, WAKEMEA TABIA YA KUSHANGILIA VIFO NA UPENDO WA UONGO NKUMBI 20:23 0 Wakati mamilioni ya Wakristo nchini Tanzania leo wameungana na ulimwengu mzima kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka, viongozi wa kiroho wametoa uju... Read more »
NGUVU YA KALAMU: WANAHABARI WATAKIWA KUWA NGUZO YA AMANI NA MARIDHIANO TAIFA NKUMBI 20:20 0 Katika ulimwengu wa sasa ambapo taarifa husambaa kwa kasi ya mwanga, uandishi wa habari umebainika kuwa nyenzo imara inayoweza kulivusha Ta... Read more »
SIRI YA AMANI YA MOYO: NJIA YA MARIDHIANO NA MSHIKAMANO KWA VIJANA WA LEO NKUMBI 20:14 0 Katika kipindi hiki ambacho Taifa linapambana kusaka mshikamano na maridhiano ya dhati, wataalamu wa saikolojia na stadi za maisha wameibuk... Read more »
DIRA 2050: SERIKALI YAHIMIZA WASHIRIKA WA MAENDELEO KUELEKEZA NGUVU KWENYE AJIRA ZA VIJANA NKUMBI 22:56 0 Dk. Tausi Kida ** Serikali imetoa wito kwa taasisi za maendeleo na washirika wa kimataifa kuhakikisha kuwa programu zao zinaendana kikamilif... Read more »
TANZANIA YATAHADHARISHWA KUEPUKA MTEGO WA MACHAFUKO BARANI AFRIKA NKUMBI 22:52 0 Wakati baadhi ya mataifa barani Afrika yakiendelea kukumbwa na migogoro ya kisiasa na kijeshi, Tanzania imetakiwa kuwa macho na kuepuka mteg... Read more »
MARIDHIANO: VIONGOZI WA DINI WAHIMIZA UKWELI NA MSAMAHA KULIPONYA TAIFA NKUMBI 22:29 0 Askofu Dkt. Abednego Keshomshahara Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Bagamoyo, Mkoani Pwani Baba Askofu Stephano Lameck Musomba. Read more »
TEUZI ZA RAIS SAMIA ZATAJWA KUIMARISHA UMOJA NA UWAJIBIKAJI WA KITAIFA NKUMBI 22:22 0 Dk. Eveline Munisi *** Wadau wa siasa na wananchi nchini wameupokea uteuzi wa hivi karibuni uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kama hatu... Read more »
MUTAFUNGWA: WANANCHI MWANZA KUSHELEHEKEA SIKUKUU YA PASAKA KWA AMANI NKUMBI 20:43 0 NA SHEILA KATIKULA- MWANZA JESHI la Polisi mkoani Mwanza limeeleza kuwa litaimarisha kwa kiasi kikubwa ulinzi na usalama katika kipindi hiki... Read more »