WAZIRI NDEJEMBI AKABIDHIWA OFISI NA ALIYEKUWA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI DKT. BITEKO NKUMBI 15:21 0 Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishat... Read more »
WASOMI WAUNGA MKONO TUME YA RAIS SAMIA: 'NI DAWA KWA MATATIZO YA TAIFA' NKUMBI 11:47 0 Wasomi na wachambuzi wa siasa nchini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Kuratibu Mchakato wa Katiba, wakisema hatua hi... Read more »
WATANZANIA WAOMBWA KUKUNJUA MIOYO, TUME YA NDANI NI UHURU WA TAIFA NKUMBI 11:44 0 Na Mwandishi Wetu Kufuatia matukio ya kusikitisha yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na siku zilizofuata, viongozi na wadau mbalimbali wameendel... Read more »
KAHAMA WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA KUDUMISHA MSHIKAMANO NKUMBI 11:21 0 Katika hatua ya makusudi ya kukabiliana na athari za propaganda na wito wa vurugu zinazosambazwa mtandaoni zikilenga tarehe Desemba 9, Mkuu ... Read more »
WATANZANIA KATAENI KUVURUGWA DESEMBA 9 – AMANI NDIO RIZIKI YETU! NKUMBI 11:14 0 Katika hali inayoonyesha wasiwasi wa baadhi ya wananchi kuhusu mipango ya uvunjifu wa amani, inayosambazwa mitandaoni hasa ile inayoelezwa k... Read more »
MABWAWA YA TAKASUMU KATIKA MIGODI YA BARRICK NCHINI YAMEJENGWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA NKUMBI 10:49 0 Muonekano wa bwawa la kuhifadhi maji taka katika mgodi wa Barrick North Mara (Picha kutoka Maktaba) Mkurugenzi wa Idara ya Ubora wa Maji kut... Read more »
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA DINI KUJADILI NA KUIMARISHA AMANI NKUMBI 23:31 0 Mkuu wa Wilaya ya Kahama Frank Nkinda, ameongoza kikao maalum na Viongozi wa Dini pamoja na wajumbe wa Baraza la Amani Wilaya ya Kahama, ch... Read more »
VIJANA WASISITIZA USHIRIKIANO MKAKATI KATI YA WIZARA YA VIJANA NA TEHAMA NKUMBI 20:25 0 Kundi la vijana wachumi na wabunifu wa teknolojia wameibuka na kutoa wito kwa Serikali, wakisisitiza umuhimu wa Wizara ya Vijana kufanya kaz... Read more »
WAZIRI KABUDI: UMOJA NGUVU YA UCHUMI WA UBUNIFU, WIZARA YAJIPANGA KUINUA VIJANA NKUMBI 18:23 0 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (WHUSM), Profesa Palamagamba Kabudi, ameweka msisitizo kuwa Wizara yake ndiyo msingi mkuu wa u... Read more »
WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU OFISI YA WAZIRI MKUU NKUMBI 18:13 0 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bun... Read more »
SAFARI YA MARIDHIANO YAZAA MATUNDA, AMANI NDIO MSINGI NKUMBI 17:13 0 Wakati Taifa linashuhudia upepo mpya wa mageuzi katika sekta ya utalii, unaoongozwa na hotuba yenye dira pana ya Rais wa Jamhuri ya Muungano... Read more »
WAFANYABIASHARA WADOGO WAJUA BALAA LA VURUGU, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA AMANI NKUMBI 15:27 0 Wakati moshi wa vurugu ukitoweka, sauti ya wananchi inaendelea kusikika ikilia kwa jambo moja: amani ni kila kitu. Miongoni mwa walioathirik... Read more »
WAELEZA UMUHIMU WA WAZIRI KUANZA KWA KUKUTANA NA VIJANA KUWASIKILIZA NKUMBI 15:06 0 Kuundwa kwa Wizara inayojihusisha moja kwa moja na masuala ya vijana nchini ni hatua adhimu na ya kihistoria inayotoa tumaini jipya kwa kund... Read more »