MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 27 FEBRUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 04:59 0 Pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 27 Feb 2023 Read more »
BABA MBARONI KWA TUHUMA ZA KULAWITI WATOTO WAKE WAWILI - SHINYANGA MANISPAA. (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linachunguza tukio linalomhusisha mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka zaidi ya 35 kwa tuhuma za k... Read more »
MTOTO WA WIKI MBILI ALIYECHOMWA KISU AFARIKI - MOSHI (HUHESO Digital Blog 16:28 0 Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa ... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA ,MAKATIBU WAKUU - MWANA FA NAIBU WAZIRI UTAMADUNI NA MICHEZO (HUHESO Digital Blog 16:11 0 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN MH. HAMIS MOHAMED MWINJUMA (MWANAFA) NAIBU WAZIRI UTAMADUNI NA MICHEZO ... Read more »
CHRISTINA MNDEME ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 16:07 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa wakuu wa mikoa mitatu ya Shinyanga, Tanga na... Read more »
SIMBA YATISHA UGENINI YAILAZA VIPERS 1-0 (HUHESO Digital Blog 05:06 0 KLABU ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu ugenini baada ya kufanikiwa kuichapa Vipers ya nchini Uganda 1-0, na kufanikiwa kushika na... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 26 FEBRUALI 2023 (HUHESO Digital Blog 04:59 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumapili tarehe 26 Februali 2023 Read more »
MPORAJI WA MALI ZA ABILIA ADAIWA KUJINYONGA MAHABUSU (HUHESO Digital Blog 18:43 0 Mtuhumiwa mmoja kati ya 14 waliokamatwa wakihusishwa na uporaji mali za abiria waliofariki na kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo aina ya C... Read more »
WANANDOA MBARONI TUHUMA ZA KUMUUA MAMA MZAZI USHIRIKINA GEITA (HUHESO Digital Blog 18:30 0 Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Geita kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchinja Mwanamke Mmoja aliyetambulika kwa jina la But... Read more »
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III - HALMASHAURI YA USHETU (HUHESO Digital Blog 18:06 0 Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Ushetu anatangaza nafasi 2 za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III kama inavyoonyeshwa kwenye tangazo... Read more »
JOB OPPORTUNITY PROJECT ACCOUNTANT AND DRIVER - CEELS (HUHESO Digital Blog 17:32 0 CEELS is looking for a committed person to fulfil the above objective in a dynamic work setting in the capacity of ACHIEVE Project Accountan... Read more »
TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI 12 KATI YA 16 MKOANI NJOMBE (HUHESO Digital Blog 14:44 0 Jumla ya miradi 12 kati ya 16 ya ujenzi wa maendeleo katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya t... Read more »