SIMBA YATISHA UGENINI YAILAZA VIPERS 1-0 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 26 February 2023

SIMBA YATISHA UGENINI YAILAZA VIPERS 1-0


KLABU ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu ugenini baada ya kufanikiwa kuichapa Vipers ya nchini Uganda 1-0, na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu kwenye kundi akiwa amecheza mechi tatu.



NA EMMANUEL MBATILO

Katika mchezo huo muhimu ambao Simba Sc alihitaji kupata ushindi ili aweze kupata matumaini katika kuwania nafasi mbili za juu na kuweza kutinga robo fainali kwenye michuano hiyo ya Klabu Bingwa Afrika inayoendelea.


Simba Sc ilifanikiwa kupata bao la mapema kipindi cha kwanza kupitia kwa beki wao kisiki Inonga Baka na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso