MTOTO WA WIKI MBILI ALIYECHOMWA KISU AFARIKI - MOSHI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 26 February 2023

MTOTO WA WIKI MBILI ALIYECHOMWA KISU AFARIKI - MOSHI

Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC).


Februari 22, mwaka huu mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa Mero, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro alichomwa kisu sehemu za mwili wake na kisha kufariki dunia huku mwanaye huyo akijeruhiwa tumboni hali ambayo iliyosababisha utumbo kutoka nje.


Akizungumza na na vyombo vya habari Februari 25, 2023, mama mzazi wa binti huyo, Ezra Tesha amesema mjukuu wake amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya KCMC.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso