MAENEO YA MIPAKANI WATAHADHARISHWA JUU YA UGONJWA WA EBOLA (HUHESO Digital Blog 17:58 0 Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera,Toba Nguvila(mwenye koti ya lamirabamiraba) akiongea na wananchi kuhusu kujikinga na ugonjwa wa Ebola TAHADH... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 26 SEPTEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 07:11 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 26 Septemba 2022 Magazetini leo Jumatatu September 26 2022 ... Read more »
SPIKA TULIA AOMBA UFAFANUZI WA SAMAKI "CHANGUDOA" (HUHESO Digital Blog 17:30 0 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, juzi Septemba 23, 2022, Bungeni jijini Dodoma aliomba ufafanuzi wa aina... Read more »
MWANAMKE ATEGUKA KIUNO AKIIBA NAZI USIKU WA MANANE (HUHESO Digital Blog 17:25 0 Mwanamke aitwaye Hadija Abdallah Magomba (25), mkazi wa Kijiji cha Mchakama, wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, ameteguka kiuno, nyonga na mkono... Read more »
WANAFUNZI WANNE WATEKETEA KWA MOTO MWADUI... DAWA YA MBU, JIKO LA UMEME VYATAJWA CHANZO (HUHESO Digital Blog 17:21 0 Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa ... Read more »
MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI TANGA (HUHESO Digital Blog 17:18 0 Mkazi mmoja wa wilayani Handeni mkoani Tanga Mariam Mbwana (35) amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku mwanaume aliyekuwa na... Read more »
TTB YATANGAZA FURSA YA UWEKEZAJI WA KILIMO CHA BIASHARA YA MAUA MKOANI NJOMBE (HUHESO Digital Blog 14:13 0 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24,2022 kuelekea uzinduzi wa mkakati wa utangazaji ... Read more »
WAHAMIAJI 34 WAFARIKI KWENYE MAJI BAADA YA BOTI KUZAMA (HUHESO Digital Blog 14:02 0 Boti ikiwa imebeba wahamiaji haramu TAKRIBANI watu 34 wamefariki dunia baada ya boti iliyobeba wahamiaji haramu kuzama karibu na Syria huk... Read more »
SERIKALI YALAANI WANAUME KUVALISHANA PETE YA UCHUMBA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:55 0 Pete Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni zikionesha watalii wa jinsia ya kiume kuvishana pete hadharani, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kal... Read more »
WATU WAIBA UNGA BAADA YA LORI KUANGUKA KENYA (HUHESO Digital Blog 13:45 0 Mitandao ya kijamii nchini Kenya imegubikwa na tukio la watu kusomba vifuko vya unga wa mahindi , baada ya lori lililokua limebeba bidhaa hi... Read more »
FISI ASHAMBULIA MBUZI NA KUUA 10 NA 9 KUJERUHIWA (HUHESO Digital Blog 13:39 0 Mbuzi waliokufa kwa kushambuliwa na Fisi Mbuzi 10 wamekufa na wengine 9 kujeruhiwa baada ya kuvamiwa na kundi la Fisi usiku wa kuamkia leo S... Read more »