UCHAGUZI WA MASHINA 80 NA MATAWI MANANE YA CCM YAFUTWA MWANZA (HUHESO Digital Blog 13:08 1 SIKU chache baada ya wanachama zaidi ya 400 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mahina wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, kutishia kurudish... Read more »
WIZARA YAAGIZA SHULE KUFUNGWA HARAKA IWEZEKANAVYO KUANZIA KESHO (HUHESO Digital Blog 12:50 0 Wizara ya Elimu nchini Kenya imeagiza kufungwa kwa shule za msingi za umma kuanzia kesho Jumanne hadi Jumatano tarehe 10 mwezi huu na masomo... Read more »
WANANCHI WAGOMEA MSAFARA WA WAZIRI AWESO WATAKA KUTATULIWA CHANGAMOTO ZA MAJI-ARUSHA (HUHESO Digital Blog 12:38 0 WANANCHI wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha wamelazimika kuuzuia msafara wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kulalamikia kukosa maji... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 01 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 05:55 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatatu tarehe 01 Agosti 2022 Read more »
BREAKINGNEWS: RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA MARA MPYA KABLA YA UAPISHO KESHO (HUHESO Digital Blog 19:52 0 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa mkuu wa Mkoa wa Mara mpya kabla ya uapisho wake kesho... Read more »
JANDO NA UNYAGO ZAPIGWA MARUFUKU MTWARA ZINASABABISHA MATUMIZI MABAYA YA CHAKULA (HUHESO Digital Blog 15:08 0 BEI ya zao la mahindi imepanda mara dufu kutoka Sh.6,000 hadi kufikia sh.14,000 kwa debe moja katika wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara. Ku... Read more »
ELIMU YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ITOLEWE KWA NGUVU KUBWA NA KASI-WAZIRI MKUU MAJALIWA (HUHESO Digital Blog 15:04 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shi... Read more »
SERIKALI YANUNUA UMEME WOTE WA MADOPE-LUDEWA (HUHESO Digital Blog 14:55 0 Waziri wa Nishati, Mhe Januari ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgawo wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 katika Wilaya ya Lud... Read more »
PEPFAR KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UKIMWI (HUHESO Digital Blog 14:04 0 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Dkt. John Nkengasong ambaye ni Mratibu wa Serikal... Read more »
WATUMISHI REA WASISITIZWA UCHAPAKAZI NA KUZINGATIA WELEDI WA KAZI (HUHESO Digital Blog 13:59 0 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka wafanyakazi wote wa Taasisi hiyo kufanya kazi kwa weled... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 31 JULAI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:09 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumapili tarehe 31 Julai 2022 Read more »
KARIM MANDONGA APIGWA TENA BILA HURUMA ULINGONI - SONGEA (HUHESO Digital Blog 23:31 0 Bondia maarufu kwa jina la Karim Mandonga amepigwa tena na mpinzania wake Shabani katika pambano la masumbwi lililopigwa usiku huu mkoani Ru... Read more »
MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WA MAJI NGOGWA -KITWANA KAHAMA (HUHESO Digital Blog 23:20 0 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa (2022)Sahili Nyanzabara Geraruma, akifungua bomba la maji ilikuhakikisha kama maji yanatoka kwen... Read more »
MIAKA 150 JERA KWA UNYANG'ANYI WA KUTUMIA SILAHA - TABORA (HUHESO Digital Blog 23:13 0 watu 5 wamehukumiwa kifungo cha miaka 150 jela baada ya kupatikana na hatia unyan'ganyi wa kutumia silaha katika eneo la Urasa kata ya M... Read more »