KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NYAMA YA KASA (HUHESO Digital Blog 17:34 0 Mkazi wa Msanga Mkuu, Ally Hassan, (46) amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Mtwara kwa makosa mawili ya kukutwa akivua maeneo yaliyo... Read more »
AJIUA BAADA YA MKE WAKE KUSUSIA KURUDIANA NAE (HUHESO Digital Blog 16:04 0 Mwanaume mmoja alijiua ka kujipiga risasi eneo la Muthangari jijini Nairobi baada ya mke wake waliyekosana kukataa kumrudia. Iyaz Mukhi mwen... Read more »
SERIKALI KUJENGA VITUO ATAMIZI VYA KULEA UJUZI WA VIJANA (HUHESO Digital Blog 14:44 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amesema kwa mwaka wa fedha 2022/23, serik... Read more »
WATU 41 WANUSURIKA KIFO KWA AJALI (HUHESO Digital Blog 14:06 0 Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao ... Read more »
RAIS SAMIA KUUNDA KAMATI YA UFUATILIAJI UTENDAJI WA MAJESHI (HUHESO Digital Blog 13:59 0 Rais wa Tanzania, SamiHassan ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyo... Read more »
MCHUNGAJI AFARIKI AKIONGOZA IBADA YA MAZISHI-MTWARA (HUHESO Digital Blog 13:33 2 Mchungaji wa Kanisa Katoliki kijiji cha Liputu, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Laurence Milanzi amefariki Dunia maeneo ya makaburini alipok... Read more »
MAADHIMISHO YA SIKU YA IDADI YA WATU DUNIANI HANANG MANYARA (HUHESO Digital Blog 13:31 0 Na John Walter-Manyara Leo Julai 20,2022 ni kilele Cha maadhimisho ya siku ya Idadi ya watu Duniani. Maadhimisho hayo yanafanyika Uwanja w... Read more »
WAANDISHI WA HABARI KUTUMIA TAALUMA ZAO KUVUNJA MIFUMO KANDAMIZI KWA WANAWAKE (HUHESO Digital Blog 13:13 0 Baadhi ya wandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo ya kuongeza ushiriki wa wanawake katika masuala ya... Read more »
MBEYA, NJOMBE NA IRINGA KUFIKIA VIWANGO VYA CHINI NYUZI JOTO 4°C (HUHESO Digital Blog 13:05 0 Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi ... Read more »
UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATOTO WATANO-ARUSHA (HUHESO Digital Blog 09:23 0 Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao... Read more »
RAIS SAMIA ATEUA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA...IGP SIRRO APEWA UBALOZI. (HUHESO Digital Blog 09:17 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura na Kumteua kuwa I... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 20 JULAI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:27 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 20 Julai 2022 Read more »
ALIEUA MKE WAKE KWA KISU, DAR ES SALAAM ADAKWA MBANDE DODOMA, ALIMUUA WAKIWA KWENYE MAONGEZI NYUMBANI KWA WAZAZI WA MWANAMKE (HUHESO Digital Blog 15:49 0 Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limemkamata Seleman Malima maarufu “Jiwe” mkazi wa Keko Mwanga kwa tuhuma za mauaji ya mke wak... Read more »
MAISHA YA NDOA YALINISHINDA, KILA NILIPOOLEWA NILIACHWA KWENYE UPWEKE (HUHESO Digital Blog 15:13 0 Nilikuwa mwanamke aliyetamanika na mwenye umbo lililofanya wanaume wengi kunitamani kwani nilikuwa katika miaka ya kuonyesha uzuri wangu. K... Read more »
KERO YA WANAFUNZI KUVUKA KWA MTUMBWI YATATULIWA NA SERIKALI (HUHESO Digital Blog 14:49 0 SERIKALI imemaliza kiu ya wananchi wanaotumia barabara ya Orthodox-Rwenkorongo-Chonyonyo kwa kutatua changamoto ya kutumia mitubwi kama ... Read more »