MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 23 JUNI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:18 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamisi tarehe 23 Juni 2022 Read more »
FIFA YAIPIGA STOP BIASHARA UNITED KUFANYA USAJILI (HUHESO Digital Blog 00:11 0 Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya ligi kuu Tanzania NBC Biashara United ya Mara ku... Read more »
YANGA YAENDELEZA UBABE KWA KUICHAPA POLISI TANZANIA 2:0 (HUHESO Digital Blog 00:05 0 Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara NBC, Yanga imeendelea kutoa kichapo kwenye ligi baada ya leo kuichapa timu ya Polisi Tanzania kwa mabao... Read more »
SADIO MANE ASAJILIWA RASMI BAYERN MUNICH KWA MKATABA WA MIAKA MITATU (HUHESO Digital Blog 23:55 0 Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumsajili Sadio Mane kutoka Liverpool kwa mkataba wa miaka mitatu. Mane anaondoka Anfield baada ya miak... Read more »
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC....CCM YAIOMBA SERIKALI KUANGALIA NAMNA BORA KWENYE SUALA LA KATIBA MPYA KWA MASLAHI YA TAIFA (HUHESO Digital Blog 23:47 0 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika ... Read more »
NILIBET NIKITUMIA MIA MOJA SASA MIMI NI MILLIONAIRE (HUHESO Digital Blog 18:42 0 Juzi nilipowaambia marafiki wangu nimekula hela nyingi kutoka kwa mchezo wa bahati nasibu, walifikiria ninawafanya utani hadi pale walipo... Read more »
NI SIKU KUMI ZA KUWASAKA WAHAMIAJI HARAMU LOLIONDO-ARUSHA (HUHESO Digital Blog 18:35 0 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka... Read more »
KESI YA MSINGI YATUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA KUU YA KUPINGA KUFUKUZWA UANACHAMA CHADEMA AKINA HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 (HUHESO Digital Blog 18:17 0 Leo Juni 22, 2022 Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya msingi iliyofunguliwa na wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliovuliwa uanachama na ... Read more »
WATU WANNE WAFARIKI AJALI YA TRENI WENGINE 132 WAJERUHIWA (HUHESO Digital Blog 16:13 0 Shirika la Reli Tanzania -TRC limetoa taarifa ya ajali ya Treni ya Abiria namba Y14 yenye Injini namba 9019,iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigom... Read more »
BASI LA SHULE LAUA MWANAFUNZI WA SHULE YAKE, DEREVA AKAMATWA NA POLISI (HUHESO Digital Blog 16:02 0 Picha ya mfano wa gari Na Mwandishi wetu - Malunde 1 blog Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia D... Read more »
MABEHEWA SITA YA TRENI YAANGUKA MKOANI TABORA-MAJERUHI WAKIMBIZWA HOSPITALI (HUHESO Digital Blog 15:56 0 Mabehewa sita ya Treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoani Tabora mpaka Dar es salaam yameanguka leo Jumatano Juni ... Read more »
DIRISHA LA USAJILI LA WACHEZAJI LIGI KUU KUFUNGULIWA MEZI UJAO TAREHE YATANGAZWA (HUHESO Digital Blog 14:42 0 Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2022/2023 lit... Read more »