AMUUA MUME WAKE KWA KUMKABA SHINGONI AKIWA AMELALA (HUHESO Digital Blog 16:42 0 Mwanamke mmoja aitwaye Maria Matheo anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumvizia mumewe GABRIEL NGUWA (80) akiwa ame... Read more »
NG'OMBE ASABABISHA KIJANA KULAWITI MTOTO ATIWA MBARONI-KATAVI (HUHESO Digital Blog 16:35 0 KIJANA mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Jackson (30) mkazi wa Kijiji cha Kagunga wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi anashikiliwa na Jesh... Read more »
MAKONDA AMCHAPA ZA USO MAHAKAMANI MWANDISHI WA HABARI SAED KUBENEA (HUHESO Digital Blog 15:56 0 Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es sa... Read more »
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA KAULI BUNGENI JITIHADA YA SERIKALI KUKABILIANA NA WANYAMA KWA WANANCHI (HUHESO Digital Blog 14:51 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa sasa inaimarisha mifumo itakayozuia wanyamapori wakiwemo tembo kuingia katika makazi ya wa... Read more »
MAUAJI YA WIVU YA MAPENZI YAMUUMIZA KICHWA-IGP SIRRO (HUHESO Digital Blog 14:47 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vi... Read more »
KABURI KATIKATI YA BARABARA: FAMILIA YAGOMA KULIHAMISHA, YATAKA MILIONI 30-SIMIYU (HUHESO Digital Blog 09:57 0 Familia ya Saguda Madako ya kijiji cha Nkindwabiye Halmashauri ya Wilaya ya Baradi Mkoani Simiyu, imegoma kuhamisha kaburi linalodaiwa kuzik... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 09 JUNI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:16 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Alhamis tarehe 09 Juni 2022 Read more »
WAKALA WA PEMBEJEO MTWARA APEWA SAA 48 KUJISALIMISHA KITUO CHA POLISI (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Mtwara, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Generali Marco Gaguti ametoa saa 48 kwa mkurugenzi wa kampuni inayosambaza viuatilifu vya korosho v... Read more »
RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI KAGERA (HUHESO Digital Blog 16:39 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Muleba tarehe 08 Juni ... Read more »
MWALIMU WA MAZOEZI (FIELD) MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA, JAMAA ALIMTOROSHA USIKU MMOJA (HUHESO Digital Blog 16:06 0 Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia aliyekuwa Mwalimu wa mazoezi (field) Abel Bulugwe (21) kwa tuhuma za kumshawishi na kufanya nae mapenzi M... Read more »
KUPITIA TAMASHA LA UTAMADUNI MKOA WA SHINYANGA BARRICK WATIA MKONO KUUNGA JUHUDI ZA MKOA. (HUHESO Digital Blog 15:49 0 Kaimu Meneja wa Mahusiano na Mazingira wa Barrick Bulyanhulu Zuwena Senkondo (kushoto) akiwa na wafanyakazi wenzake baada ya kupokea cheti c... Read more »
TAASISI ZOTE ZINAZOTOA HUDUMA TIC KUTUMIA MFUMO WA DIRISHA MOJA KWA WAWEKEZAJI (HUHESO Digital Blog 15:44 0 Picha ya pamoja ya washiriki na wakuu wa taasisi zinazounda mfumo wa huduma za mahala pamoja (TIC) walipokutana Morogoro kwa ajili ya kup... Read more »
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA SIKU TANO PIKIPIKI KUPELEKWA KWA WALENGWA (HUHESO Digital Blog 14:37 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizaran... Read more »
BABA NA MTOTO WALIOWEKEANA DHAMANA WOTE WATOWEKA NA KIFUNGO CHA MIAKA 30 (HUHESO Digital Blog 12:49 0 Na Mwandishi Wetu, Iringa Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha mika 30 na fidia ya Tsh. Milioni 1 Mfanyabiashara Kaloli Mkus... Read more »
MAAMBUKIZI YA UVIKO-19 YAONGEZEKA-WIZARA YATOA TAMKO KWA WANANCHI KUHUSU CHANJO (HUHESO Digital Blog 12:40 0 Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu mwenendo wa Covid-19 katika kipindi cha tarehe 05 Mei hadi 03 Juni 2022 ambapo maambukizi mapya 161 ya... Read more »