MBARONI KWA KUMBAKA BINTI MIAKA 19 KYAKA BUKOBA. (HUHESO Digital Blog 18:37 0 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Stide Joackim mwenye umri wa miaka 34 mkazi wa kijiji cha Kyaka kata ya Kyaka wilaya ya Missenyi... Read more »
TANZIA: MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA RUKWA IRENE NDYAMUKAMA AFARIKI DUNIA (HUHESO Digital Blog 18:23 0 SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mheshimiwa Irene Alex Ndyamkama ambaye a... Read more »
Mama amzika mwanaye kimyakimya usiku baada ya kufa njaa - Kilimanjaro (HUHESO Digital Blog 10:44 0 Mtoto Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru, mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 24 APRIL 2022 (HUHESO Digital Blog 10:38 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Jumapili April 24, 2022 Read more »
MARAIS WALIOSALITIWA KATIKA NDOA - AFRIKA (HUHESO Digital Blog 09:54 0 Na Ally Lityawi, Ndoa nyingi duniani zimeparanganyika kutokana na usaliti wa mmoja wa mwenza.Upepo mbaya huu katika bahari ya huba umewaku... Read more »
DC Nyamagana awapigia magoti wananchi kuomba washiriki ujenzi shule (HUHESO Digital Blog 18:28 0 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi na Diwani wa Kata ya Butimba, Marwa Mkale wamewapigia magoti wakazi wa Kata ya Butimba wakiwaomb... Read more »
WANANDOA WAFARIKI DUNIA KWA JIKO LA MKAA - BUKOBA (HUHESO Digital Blog 18:00 0 Wanandoa wawili wakazi wa mtaa wa Bunkango, Nshambya manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, maarufu kama mama Osward na baba Osward wamekutwa wa... Read more »
BABU WA MIAKA 95 AUAWA KWA TUHUMA ZA USHIRIKINA-NJOMBE (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 95 wa Kijiji cha Lwanzali kilichopo Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe amekutwa ameuawa ndani ya nyumba... Read more »
MPIGA DEBE AFARIKI KWA KUKANYAGWA NA TAIRI ZA GARI - NJOMBE (HUHESO Digital Blog 11:14 0 Mpiga debe mmoja wa eneo la Makambako Mkoani Njombe amefariki dunia kwa kukanyagwa na tairi za gari katika kichwa chake kutokana na kuanguka... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 23, 2022 (HUHESO Digital Blog 08:56 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Jumamosi April 23, 2022. Uhali gani msomaji wetu! Ikiwa leo ni Jumamosi April 23, 2022 Karibu upi... Read more »
FISI AUAWA AKIVIZIA KUMSHAMBULIA MTOTO - SIMIYU (HUHESO Digital Blog 20:23 0 Mtoto mwenye umri wa miaka mitano (5) amenusurika kujeruhiwa na fisi majira alipokua eneo la shule ya msingi Mwabalange Wilayani Bariadi Mko... Read more »
BREAKING NEWS: MASHIRIKA 29 YASIYO YA KISERIKALI (NGO'S) YAFUTIWA USAJILI (HUHESO Digital Blog 19:54 0 Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 5... Read more »
BREAKING NEWS: RAIS WA ZAMANI WA KENYA MWAI KIBAKI AFARIKI DUNIA (HUHESO Digital Blog 13:14 0 Uhuru ametangaza kuwa Kibaki amefariki usiku wa siku ya Alhamisi. Uhuru anamuomboleza mtangulizi wake kama kiongozi ambaye alileta ukuaji wa... Read more »
HOUSE GIRL AUAWA, MUUAJI KANYWA SUMU ILI AJIUE AKANUSURIKA PWANI (HUHESO Digital Blog 13:05 0 Jeshi la Polisi Mkoani Pwani linamshikilia mtu mtu mmoja mwanaume (27) jina limehifadhiwa kwa tuhuma za mauaji kwa kumshambulia na kitu che... Read more »
WATANZANIA WAASWA WASIWE NA HOFU JUU YA KODI ZA FACEBOOK, INSTAGRAM NA WHATSAPP (HUHESO Digital Blog 11:53 0 Mkurugenzi wa Elimu ya Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, amesema kwamba lengo la kukutana na wataalam wa kampuni ya Meta inayomiliki F... Read more »