MLIPUKO WA GESI UMETOKEA MJI MKUU WA KENYA NAIROBI NA KUUA WATU WATATU NA WENGINE 300 KUJERUHIWA
(HUHESO Digital Blog
00:37
0
Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lililipuka katika wilaya ya Embakasi mwendo wa 23:30 (20:30 GMT), "na kuwasha moto mkubwa"...