MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AKUTANA NA VIONGOZI WA TANZANIA KANDO YA MKUTANO WA BODI YA MAGAVANA WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA NCHINI IVORY COAST - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 28 May 2025

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AKUTANA NA VIONGOZI WA TANZANIA KANDO YA MKUTANO WA BODI YA MAGAVANA WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA NCHINI IVORY COAST


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo, Balozi wa Tanzania nchini Ivory Coast mwenye Makazi yake nchini Nigeria Balozi Selestine Kakele, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Juma Malik Akil kando ya Mkutano wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Hoteli ya Sofitel Ivoire Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso